Ali Kiba Fans' Special Thread...


uungwana ni vitendo
then hv id yako nyingine ni ipi?
 

Ni wewe kweli au ninaota, safi sana thats how its supposed to be, haya masuala ya imani za watu sio vyema kuyaingilia kabisa.
 
Naona humu jf kuna mungumtu anajua nani mtakatifu nani hatakasiki.
 
Yani hii video nimeipenda sana idea yake iko simple hadi matukio yako well arranged. Hasa hapo kwa hyo redio ya kizamani magari hadi uvaaji.
In short hii video imenikosha I love the idea.

Yaani kila nikiiangalia am falling in love with it again and again, the best video of the year, hutaki nenda kacheketue huko.
 
Mdakuzi asante kwa maelezo mazuri kuhusu hii video nzuri ya Kiba nadhani hata vilaza na division five waliokua wanaponda bila kuelewa watakua wamepata darasa hili adhimu kuhusu chekecha video.
 
Last edited by a moderator:

Teh teh teh na point yako ni IPI mbona unajichaganya mazeee
 

Attachments

  • 1435692201384.jpg
    59.5 KB · Views: 74
Pole kwa ban ma dia. Watu wengi wakiishiwa hoja hukimbilia kutukana matusi kwa wazazi na viungo vya uzi, too low.
Kumbe ulikua hujui licha ya fake id watu wana michukii ya hatari kisa tu kutofautiana ushabiki.

yaani mie wantukane viungo vyote mradi vyangu sijali ila mtu anakuingizia mzazi hv hizo akili matope..?
binafsi mwanzo nlikua naonaga utani vile watu wanavyosemaga kua kuna chuki za kweli but nimeamini nlivyopigwa ban dah
poleni msionipenda wote kisa aly k ila mia nawaona mko chini ya kiwango tujengeni hoja na wala si kuingiziana wazazi mid sina kinyongo na mtu na ntadeal na wewe but not ur parents
matusi sikatazi maana hayo labda ndo maisha yake ya kitaa
tumetofautiana mazingira tunayoishi huko uswahilini
 
Naona humu jf kuna mungumtu anajua nani mtakatifu nani hatakasiki.

huyo Bloger alisema chekecha ikipigwa mara 5 trace apigwe life ban nashanga mpaka sasa yupo anajibizana na watu
 
Last edited by a moderator:

hahahaaahaaa asanteee...na kuchambana wenyewe tena mabiggg.....!!ungetag mbea mie niongeze siku za kuishi...!!!
 
Yaani kila nikiiangalia am falling in love with it again and again, the best video of the year, hutaki nenda kacheketue huko.

Kiukweli hii video nimeipenda sana hainichoshi kuiangalia kuanzia idea nzima na uchezaji wake. Let keep chekechuaring hahaaaa in kibas voice.
 

Unajua huku JF tuko watu wa aina mbalimbali na wenye background tofauti na malezi wengine wanaona kutofautiana mawazo ni kosa ka Mimi hyo mijitu imekua inatumia I'd tofauti kuni attack hata kwenye nyuzi tofauti simply namkubali, kiba mtu ana Ku attack tu.
Mi huwa naelewa wengi kwa miandiko yao na hyo hunipa kuwasoma tabia zao na huwaepuka kabisa.
Chuki zipo tu tena matusi kwangu naona hayana nafasi huwa nayapuuzia. Kuna watu wanang'ata na kupuliza kuliko ibilisi mwenyewe.
 
waekee hiyo mpaka waelewe sio gazet la udaku ni la michezo ila limemchagua kingkiba nisaidie kulisambaza nyuzi zote wanazomponda kingkiba

Bora hata gazeti lenye heshima limeandika ingekua udaku wange bweka kweli kweli.
 
Yani hii video nimeipenda sana idea yake iko simple hadi matukio yako well arranged. Hasa hapo kwa hyo redio ya kizamani magari hadi uvaaji.
In short hii video imenikosha I love the idea.

Nimefanya kazi ya Cormecial advertisement for Tv kuanzia mwaka 1998 mpaka 2003 five years net nchi za watu.

Video ya Kiba siyo simple kama unavyotaka kuamini, kukodisha vitu vya zamani ni gharama sana nchi za wenzetu.

Nikiwa kwenye kazi hizi art department tuliwahi kufanya tangazo moja lionekane la miaka 100 iliyopita, nilishiriki kuzunguka nje ya miji kukusanya mavazi na masanduku ya kizamani kuna watu wanavitunza for hire, na walioshiriki Tangazo walilipwa pesa vizee kutoka mataifa mbalimbali ili kukamilisha Tangazo na mchanganya rangi wetu ana uwezo wa kuchanganya rangi gari mpya ikaonekana imechakaa kama ya miaka 30 iliyopita.

Kwa mfano Director akitaka hapo mtaani aliposhoot Kiba nyumba zionekane rangi fulani tulikuwa tunapaka rangi mpya ambayo wataalam wamependeka na baada ya shooting mwenye nyumba ndio atachaguwa ibaki rangi ile ile au ipakwe tena rangi ile iliyokuwepo awali.

Ngoja nipekuwa mafile yangu kuna kitu kipya wengi watajifunza hapa, ni kazi ambazo tumezifanya miaka 15 iliyopita ila Tanzania mpaka leo hakuna kampuni yeyote inayoweza kuset up tuliyofanya 15 years back.

Nachekaga kweli hata hall la kufanyia Tv talk show Wabongo bado hawawezi, anayekosoa video ya Kiba ni wakuonewa huruma.

Kikulacho ya Mr Nice ni moja ya video bora sana kwa watu ambao tumefanya kazi ya art kwenye shooting.
 
hahahaaahaaa asanteee...na kuchambana wenyewe tena mabiggg.....!!ungetag mbea mie niongeze siku za kuishi...!!!

Hahaaaaaa! By then umbea ulikuwa haujanikolea, yaani mambo yalikuwa mazito we acha tu, tulibaki tumeduwaa why haya mambo wasingechambana huko kimya kimya yakaisha maana inaonekana ni watu wanaofahamiana, ila sio kwa aibu zile!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…