roho zinawauma sana hao. wanazingua sana. #kingkiba
Jamani kwaherini wapenzi, nawakubali kinoma noma yaani, mida ya.....hii.
Nisalimieni geniveros unanitaka Shardcole Ms.Lincoln Mrembo by Nature warumi n.k
Ngoja niingie YouTube tena maana nimeshaimiss tayari.
Tutaonana tena panapo majaaliwa inshaallah...
Tchao
Mi sijaona sababu ya wao kufuta comments zetu wanataka kuleta mambo ya zingifuri kwenye Uzi wetu.
Sawa nifah sifanyi ivyo tena navaa miwani ya mbao.
Nakupendaga pia dear nampenda pia kiba...yaan adi nachukia mtu akimkashifu.
Naanza kuchukua mazoez mamy atoto na Ms.Lincoln washanikataza na wew pia leo na kaka zangu kibao humu ndani The Name, pwilo peterchoka.
Ivo basi kwanzia leo nipo kwenye mafunzo ya kuji control dear ukirudi unanikuta nishazoea.
mbona ule uzi wanaosema kiba kafukuzwa hawafuti coment
Kwan me nimetukana mtu hapa dogo au kukuambia ukweli kuhusu kuna nyimbo sio za diamond kashirikishwa ndo una hasira n mie oya shake shibobo move Ferrari bobo ah olamide katisha sn huu wimbo wa obobo
nifah unajua jana @ bloger alisemaje kuhusu video mpaka tunahasira nae
Oya shake shibobo move ferarai bobo oya shake shibobo aiseeee olamide katisha sn huu wimbo wa obobo
Tena ni maharage yaliyovundikwa kabisa, ila sio kosa lao King anachowafanya sio kabisaaaa, hayaaa Moderator chekechaaa cheketuaaaaa, chekechaaa cheketuaaa
Mi sijaona sababu ya wao kufuta comments zetu wanataka kuleta mambo ya zingifuri kwenye Uzi wetu.
we kalia kuhate mwenzio kila ikichezwa anaingiza mpunga
Hahahahaaa ujue nimekabwa na hii video kidogo nife nikasema cha kufia nini? Ndio ikabidi niingie maana sio kwa raha hizi za King kwakweli.nilivyoona comment yako nikasema leo.karibu sana. video ninayo kabisa
Kilalakheri mpenzi, will be missing you
no kuna wakati sio wa utani kedrick so inabidi uwe mpole utanipa ban bureee sasa unasema video mbovu kila wakati unarudia kitu hicho hicho now im serious
Tena wanaziacha koment hadi mbovu tuwaeleweje sasa hawa. Wana mambo ya ajabu sasa wameshindwa Ku moderate jukwaa limekua na mambo ya kitaa wao wanaweka ushabiki kwenye kufuta comment. Si wana sema where we dare to talk openly. Mbona wanafta comment kumbe sio jukwaa huru hili.