Ali Kiba Fans' Special Thread...

Jamani aliye muona mtani amwambie namtafuta!
 
Ha ha ha watu wanaijua ignore list kabla we hujaijua jf ni nini....ha ha ha siku nikiwa na mood ya kichokozi ndo kama hivi yani naquote tu hata ukinuna naquote tu....
 

cant you stop this my babe cute b?
 
Last edited by a moderator:

Inaitwa read btn lines, jiheshimu utaheshimiwa
 
Hahahaaaa shoga nilishasikia harufu ya ban nikaona nifanye tuu kazi maana naanzaje kukosa jf kwa ajili ya fool? Akaa mi mwerevu banaa nimemgea CASH nikamwacha anazihesabu nikapita hivii.
CHA MUHIMU CASH YAKE KAIPATA

Tena funika kombe mwanaharamu apite.
Yaani mtu ukifanya kumuavoid eti imekuwa unamuogopa hahahaaaa!

Honestly huna haja ya kujibizana na mtu kila siku sometimes you have to let them be.
 
Heloooow lovely family, missed you guys, kwani nini kinaendelea? Mbona mamluki wengi humu? Mmewashika wapi mpaka watapetape hiviiiiii!!! cute b plzzzzzz!!
 
Last edited by a moderator:
Apo chacha!!
aaah mwenzangu na watupisheeee!!

Tena kama mie anaeniquote kwa upuuzi wake anajisumbua tu namuona data amekazana hapo masikini loooh bora akaandae futari tu!

Best option ni kumu ignore tu mtu anayetafta ugomvi sasa kumshabikia Kiba napo kosa. Its so shame kwa kweli watu wazma kabisa.
Mi ndo aki quote Mpaka achoke anapoteza mda wake stress zao hatutaki kwenye Uzi special kwa Kiba.
 
Last edited by a moderator:
Heloooow lovely family, missed you guys, kwani nini kinaendelea? Mbona mamluki wengi humu? Mmewashika wapi mpaka watapetape hiviiiiii!!! cute b plzzzzzz!!

Teh teh teh teh mamluki uzalendo umewashinda wanataka kutuharibia Uzi wetu waende kwenye Uzi wao special buuuuuaaana kutofautiana mawazo sio vta buaaaasna.
 
Last edited by a moderator:
Tena funika kombe mwanaharamu apite.
Yaani mtu ukifanya kumuavoid eti imekuwa unamuogopa hahahaaaa!

Honestly huna haja ya kujibizana na mtu kila siku sometimes you have to let them be.
Karibu, jimwage kwa mkeka.....subiri futari
ananiogopa vibaya mnooo kuna day nlikoment kokoriko akaja huku kusema naona wanawika yes it was me,nimelike post ya m.s Lincoln akateta oooh kalike hajaelewa yes ananisema mie sa kama haniogopi why aongee kipembeni?
ananiogopa ananiogopa mnooo #nokuogopaatall comment zozote za hapa ntaquote as long as nipo interested ndo hivo yani
 
Tena funika kombe mwanaharamu apite.
Yaani mtu ukifanya kumuavoid eti imekuwa unamuogopa hahahaaaa!

Honestly huna haja ya kujibizana na mtu kila siku sometimes you have to let them be.

All they know ni chokochoko na matusi, i just cant find a perfect name to call these dudes, hata siwezi tofautisha mwanamke na mwanaume, wanaojitambua hata watatu cdhani km wanafika, hivi shule zinafungua lini warudi shule(u know wht i mean), ignore ignore ignore ignore.
 
Nipo sana huu uzi hadi tuzo ziishe yani nipo sana....na msiogope kuniquote usioongee kipembeni say no to uoga!!!!
 
Ndio uzalendo gani sasa huu wa kuwafanyia fujo watanzania wenzao?? Hebu kuweni wazalendo bwana

Hahaaaaaa uzalendo kweli kweli ndo huo wa kuendekeza vigodoro ndo ujanja huo. Ndo hao wanaojaa kwenye page ya Davido kutukana ndo uzalendo wao hao.
Uzalendo wa maneno tu. Mi napenda ule uzalendo wa Nyerere sasa hakuna mzalendo loh.
 
Hahahaaaa mingine hadi inatia huruma yaani, duuuuh stress zingine mbaya jamani, i love this family jamani, ama kweli kizuri chajiuza.

Tena watu wazima kabisa bora ingekua tenaja wengine wanakimbilia uzeeni.
Yani watu wazima kabisa hata haya hamna bora hata wanawake mijianaume mizima sasa inashangaza kabisa so shame kwa kweli😱😱😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…