Hahah na kweli wamemvuruga.
Nitajie kule kwengine.
Alafu duuh naona wachawi tumeingiliwa na malaika watakatifu mweeeh na wao eti wamekuja kuwanga na sie au? Lol
Habari wanajamvi.
Kwako Ali kiba popote ulipo. Hebu vunja ukimya basi. Toapo ka songi hata ukiimba wimbo mzima kwa kutaja majina tu ya washabiki zako nakuhakikishia wimbo wako uta hit sana na utabeba tuzo lukuki.
Yaani kama game refarii yuko upande wako dogo we kajiangushe paleee penati boksi atakupa penati ujue. Itumie basi nafasi yako hii kabla dakika tisini hazijaisha ohoo shauri yako utakuja jutia hivyo.
ushalipuka asante sana hahahaaa maana niliyemlipua kalipuka that y nikaleta feed back na unajijua ndo wew ndo maana umekuja Heheheeeeee na bado utaona rangi zote za dunia paka shume wew... nimekwambia mziki wangu hamna anayeuweza ata mje mia . Niombe msaada mimi? Hahahaaa kweli umevimbiwa na choroko zilizochacha ebu tutolee ushuzi wako hapa bint unajam.ba kama unakufa kesho. Nishakwambia shukuru mungu kuna ban leo ungekufa kwa vichambo..
Naona team work!
Teh teh teh mabingwa wa kuchambwa east and central africa!
Vote vote vote!
Heheh nisambazie raha cute b hiyo mikwala mbuzi yao tupa kuleee!!!
Ila tu usikubali kupigwa ban kwa ajili ya vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu.
Kama vipi we kula bati tu....no need of much energy mama nothing new! NOTHING
Heheh nisambazie raha cute b hiyo mikwala mbuzi yao tupa kuleee!!!
Ila tu usikubali kupigwa ban kwa ajili ya vitu visivyokuwa na kichwa wala miguu.
Kama vipi we kula bati tu....no need of much energy mama nothing new! NOTHING
Unaanzaje kupigwa ban sasa na kukosa mambo mazuri hapo mbele??
Hahah na kweli wamemvuruga.
Nitajie kule kwengine.
Alafu duuh naona wachawi tumeingiliwa na malaika watakatifu mweeeh na wao eti wamekuja kuwanga na sie au? Lol
Naona team work!
Teh teh teh mabingwa wa kuchambwa east and central africa!
Vote vote vote!
Wew sio mnafiki? Wew jama ulikuwa unasema sio fair ku vote for davido but y? Today?
Tatizo lako ni moja tu unaniogopa na unachukulia vitu serious...unanisema sema kwa mafumbooo mi nikitaka kukusema ndo kama hivi nakufata tu popote ntakapokuona usiniogopeee quote me, nimelike ndi kwani umenuna? Ok ngoja nilike na kwako basi....Hahahaaaa umenichekesha weyee "eti mabingwa wa kuchambwaa" alafu mwenyew ka like sijui amezani umesema "mabingwa wa kuchamba" hahahahaaaaaa. Haina pa kwenda kila saa ina nusa nusa apa na harufu zao za janaba
Tatizo lako ni moja tu unaniogopa na un chukulia vitu serious...unanisema sema kwa mafumbooo mi nikitaka kukusema ndo kama hivi nakufata tu popote ntakapokuona usiniogopeee quote me, nimelike ndi kwani umenuna? Ok ngoja nilike na kwako bas
Mimi sio mnafiki...labda umechanganya mimi sikuwa nasema sio fair kuvote kwa davido au nini
Ishu yangu ilikuwa kuwa kwa manufaa ya muziki sio vema ku entertain uadui kati ya wasanii wetu wenyewe
By the way...Kwa leo nimeamua ku himiza kupigiwa kura kwa Davido kwa sababu muziki wake ni mzuri
Lakini nimeongea kistaarabu kabisa bila kutukana wala kukashifu mtu yeyote..Tofauti kabisa na reaction yako iliyokuja na matusi na kukashifu
Kazi sina wala sitaki kazi ni kinyume na maandiko mwanaume ndo mtafutaji buanaKukosa kazi ni shida jamani hahahaaaa wew ungekuwa na kazi ya kufanya usinge ng'aa ng'aa macho kila saa kuangalia nime coment nini na ni wapi nime comment. Nakushauri tuu mind your b'ness utakufa na presha bure ukiwa unaangalia nime comment wapi na nime mquote nani na nimeandikaje. Nakushauri tuu tafuta tuu kitu chochote cha kufanya. Mimi ukinifatilia nafanya nini au naandika nini utakufa masikini.
pole sana sina muda wa ku argue na wew jobless.
Shida yako si nipate ban? Basi tufanye nimekuogopa. Umeridhika? Aya kaoshe ata vyombo.
#nyooooooooohapigwimtubanmwakahuu
Kazi sina wala sitaki kazi ni kinyume na maandiko mwanaume ndo mtafutaji buana
namna hii ndo nataka ukitaka kuongea about es lazma nijue sio unaenda kuteta kipembeni pembeni
najua unapenda kunizungumzia usiniogopeeee hii ni jf tu stress free zone ukiishi hivo utakosa pa kutolea stress zako
ukizingatia unazo hadi unaamua kupata gambe lol....mi hapa ndo kazini nipo mda wote na ntakufata muda wote na unavopanic mi ndo nafurahi
Utakaponiongelea tu lazma ntakuquote na hakuna mwanaume wa kukusaidiaBasi nimekubali wewe ni mshindi wa kuchambwa sawa? Nimekubali kua wew kwa kuchambwa hamna anayekufikia yaani wewe ni kiboko.
Yaan wew kwa kuchambwa ndo mwenyewe naanzaje kubisha kuwa wew sio profesa wa kuchambwa?
Aya tulia sasa. Ndo nisha kucheua ivyoo na sirudiagi matapishi ni quote unavyotaka wireless ya bure ni yako vidole ni vyako who care? Alafu ndo kama ivi nisha ku ignore
Wera weraaaaaaaa papireeeeeeeeeeeeewe. K for real.. kaogelee kwenye acid.
Chezea kupuuzwa weyeee? Yaani nimekupuuza mpaka kichefu chefu.
Pole sana. Sina muda huo sinaaaaa wa kukaaaa kubishanaa na bogaz sinaaaa heheheiyaaaaaaa