Ali Kiba Fans' Special Thread...


ndio mana mi sikuwajibu ila huku wasije wanajifanya wanachangia kumbe wanafiki tu mi ckutaka malumbano nao wala ckuwajibu ila huku hatuwataki simple tu na nawajua wote waliotutukana wakija ntawaambia cc hatutaki unafiki kwani shida iko wapi c wana uzi wao #vote for davido instead of domo keep on voting all we are African support good misic #vote eeeeeeee
 

Waishie huko huko na mitusi yao na unafiki wao aisee, ndio maana siku ile nilimwambia cute b asihangaike nao maana wale unafiki umo damuni so, na hapa hata iweje lazima wapite na washinde, km unaona inakukera sn haukutumwa kusubcribe so just unsubcribe tu
 
Last edited by a moderator:
please voteeee for davidoo voteee for yemi alade just ignore domo#campain manager
 
Msitishe watu, huku kwetu nitajinafasi nibavyotaka hakuna wakuleta nongwa. Kibaya kiba tu, hata mtumie nguvu ni kibaya tu.
 
Huyu katoa mpya, nilizan anachukiwa Diamond tu kumbe hata Vanesa

Ebu toa ushushushu upashuknaa huku... mwanaume mbeaaaaa kama nini.. umeitwa kwenye huu uzi?? Umekalia nyuzi zako za kipambe huko umeona hatujaja unaleta umbea huku. Kwendaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
King anasema hii ngoma tayar yani DONE DONE DONE kiba ndani na bella sauti zote tamu ama neneee
 

Attachments

  • 1435121779073.jpg
    44 KB · Views: 89
Shardcole acha kutwanga maji kwenye Kinu kule kwenye uzi wa salaam.
Naona kuna madame mbayayeye anaongea pumba zilizoenda shule. cute b, mi huwa simwelewi yule dada kwa kweli.
Maneno mengiiii ujinga ujinga mtupu.
 
Last edited by a moderator:
Shardcole acha kutwanga maji kwenye Kinu kule kwenye uzi wa salaam.
Naona kuna madame mbayayeye anaongea pumba zilizoenda shule. cute b, mi huwa simwelewi yule dada kwa kweli.
Maneno mengiiii ujinga ujinga mtupu.

Anaongea pumba tuu nimejaeibu kusoma mara mbili anamaanisha nini ata sijaelewa. Yule dada sijui kaishia la 5 C duuh sitaki kuamini kama ana elimu ata ya la saba yule. Anaandika kama anaruka ruka naanzaje kumwelewa? nifah ndo anamwelewaga shoga angu mie akuuuuu.
Apo anangoja aje asapotiwe na ile minonkho miwili ambao kazi yao ni kujichekesha chekesha
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha
Mbavu zangu.Ndio maana siku ile ulimwambia huwa humwelewi.
Yani nilikuaga namwelewa kipindi kile kabla hajaanza kutafuna mirungi na kurumagia ndimu.
Yani anaandika migazeti mirefu haina mvuto wala point.
Aisee afu ukitaja shule anaruka kama katiwa dole!
Lool nimecheka sana.
 
Last edited by a moderator:
Shardcole acha kutwanga maji kwenye Kinu kule kwenye uzi wa salaam.
Naona kuna madame mbayayeye anaongea pumba zilizoenda shule. cute b, mi huwa simwelewi yule dada kwa kweli.
Maneno mengiiii ujinga ujinga mtupu.

Mkuu ndiomana nimeamua kuwapotezea kule vichwa vigumu hawaelewi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
King anasema hii ngoma tayar yani DONE DONE DONE kiba ndani na bella sauti zote tamu ama neneee

Hatari hatari.......! Naona upande wabjirani zetu tumbo joto hasa wakisikia habari kama hizi, wao na video zao 3 kwa wiki 1 lakini sisi tunawachapa kwa Audio 1 tu ya chekecha mpaka wanaomba pooo, sasa sipati picha na hii collabo ya kihistoria hali itakuwaje...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…