Ali Kiba Fans' Special Thread...

Sijawahi kuwa shabiki wa team yyte ya hawa madogo, wala sijawahi kuchangia uzi wowote wa hawa jamaa, Leo ndio naanza, kwangu mimi Diamond yuko mbali sana huyu kijana bado sana kumfikia, aongeze juhudi tu lakini kuvimba kichwa kwa zile tuzo zenye utata atakuwa hajajitambua,
Kwa Tz sasa hayupo kama diamond wala anaemkaribia hayupo huo ndio ukweli mchungu
 
Kumbe wimbo ulikuwa wa King Kibaka!! Sikujua hilo kabla. Hii inanikumbusha jamaa yangu Mphamvu alivyonidanganya eti kwenye huo wimbo Kiba alikuwa anamuimbisha R. Kelly, kwamba Kelly alikuwa anamsikiliza Kiba aimbe nini.
 
Last edited by a moderator:

Kwa wanaomfahamu Kiba hapa halijaongezwa ata neno moja. Jeuri kiburi na kujiona ndio vina Endelea kumponza.
 
Ananijitekenya na kujijambisha mwenyewe lazima amchukie Daimond Kwan hatujui Hilo sio geniii,hasira zake za kukosa pesa ya kumalizia video ya cheketua asmmalizie Daimond,atakunya huku kasimama shenziiiiiiiii!;;;;;!!!!!!

Huwezi kushindana na mtu kwa single moja kwa mwaka, huyu mtoto anaumwa mavi.

Mwanamuziki ni yule mwenye uwezo wa kuandaa show na kucheza kwa saa 5 mfululizo bila kuishiwa nyimbo.

Siku zote nimesahau kufuatilia kitu muhimu kabla ya kuhukumu, naomba yeyote anayefahamu education background ya Ally Kiba atuwekee hapa maana inawezekana kuna watu huwa tunawaonea bure kumbe tatizo lipo wazi.
 
Kwa wanaomfahamu Kiba hapa halijaongezwa ata neno moja. Jeuri kiburi na kujiona ndio vina Endelea kumponza.

Hivi Christian Bella super vocalist angepata support kama aliyopewa huyu dogo nadhani kwenye hizi tuzo za kimataifa zote angekuwepo, kweli mcheza kwao utunzwa Bella Ucongo wake ndio umemponza.

I wish Banana zorro arudi kwenye muziki wa ushindani.
 
Moyo wangu ti ti tiiiiii unakimbiaaaaaaa
 
Moyo wangu ti ti tiiiiii unakimbiaaaaaaa

Moyo wako unakwenda wapi? Mjifunze toka kwangu Diamond naye akifanya ushuzi mnatakiwa kumpa makavu, nimegunduwa sisi ndio tunawapoteza hawa watoto.

Umeona mashabiki wa Taifa stars walichokifanya? Si kina Malinzi walikuwa jeuri?
 
Mi mbona nampa sana jamani hasa hasa la kutoka na mganda ndo nalitilia mkazo make hilo ndo haswa kubwa linalofanya wanawake tumchukie ha ha ha
 
Sijawahi kumsikia diamond anaongea shombo kama hizi kwa Alli,ila kwa ushahidi huu wa global (kama ni kweli) huyu Kiba haki ya Mungu hawezi kufika mbali kimuziki ataishia hapo hapo kariakoo.mamaaeee!
 
Sijawahi kumsikia diamond anaongea shombo kama hizi kwa Alli,ila kwa ushahidi huu wa global (kama ni kweli) huyu Kiba haki ya Mungu hawezi kufika mbali kimuziki ataishia hapo hapo kariakoo.mamaaeee!

Umewah kuwaamin global?
 
Moyo wako unakwenda wapi? Mjifunze toka kwangu Diamond naye akifanya ushuzi mnatakiwa kumpa makavu, nimegunduwa sisi ndio tunawapoteza hawa watoto.

Umeona mashabiki wa Taifa stars walichokifanya? Si kina Malinzi walikuwa jeuri?
Matola kosa la Diamond ni nini?
 
Last edited by a moderator:
si walituambia mimba ya zari sio ya Diamond bali ni ya Katunzi na tukaamini?

Uliamini peke yako

Na sisomi kabisa izo gazeti zisizoeleweka

Nimesoma mahojiano ya Kiba na gazeti lenye heshima zake siku aliyorudi na kufika kwenye iko kikao cha tembo hakuna sehemu aliyomtaja diamond
 
huu ni udaku tu sio kweli nimeuona instagram huu global wazushi sana #kebekebe
 
Hahahaaaaaa!! They didnt mata then how ll they mata now??? Nakumbuka kale kamsemo ka Matola eti wanajitekenya na kufanya nini......? Wanadhani na sie wanafiki km wao eti, now the game gooooooooz on ama nene! Yaani hivyo tu yaani

Mamy mambo?
 
Last edited by a moderator:
Ananijitekenya na kujijambisha mwenyewe lazima amchukie Daimond Kwan hatujui Hilo sio geniii,hasira zake za kukosa pesa ya kumalizia video ya cheketua asmmalizie Daimond,atakunya huku kasimama shenziiiiiiiii!;;;;;!!!!!!

za asubuhi ?#kebekebe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…