Suprisooooooo limewageuka pwaaaaaaaa
Suprisooooooo limewageuka pwaaaaaaaa
Ivi domo alifikiria kuna nini? Hahahaaa
Hahahaha yani nimecheka balaa, leo yani hii surprise ya clouds imekuwa faida kwa KingKiba
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa
😀😀😀 ivi Ali kiba hayupo ktk izo tuzo mbona unamvotia davido we
😀😀😀 ivi Ali kiba hayupo ktk izo tuzo mbona unamvotia davido we
Mimi sijasikiliza ni nini kimesemwa?
Kampeni mpya kupambana na Ujangili wa Tembo duniani yazinduliwa. Msanii Ali Kiba ateuliwa kuwa mmoja wa Mabalozi wa kampeni hiyo duniani.
"Just announced at a press conference in Dar es Salaam this morning, I am proud to be the new Ambassador for WILDAID with Hasheem Thabeet and former Miss Tanzania, Jacqueline Mengi joined."
Magwiji wengine ambao wanaungana na KingKiba ni;
Jackie Chan, Yao Ming, Edward Norton, Prince William, David Beckham, Leonardo DiCaprio, Ralph Fiennes, Harrison Ford, Kate Hudson, Sir Richard na Branson!.
Hakika nyota ya Ali Kiba inang'aa. Na Nyota na ing'ae kwako wewe nakuombea.
Mwenyewe anakuambia "Asante Asanteni Sana! ‪#‎TeamKiba‬ ‪#‎KingKiba‬ ‪#‎ROCKSTAR4000‬ ‪#‎AWFfacts‬"
Acha a vote anavojisikia bundle ni lake.
Hafu uliadimika sana kijana bussiness ilikua busy nini?
Cjamkataza kuvote just nimeuliza ah mie nilikuwa mbali sn uko hata network hamna mambo flan ya kusaka mshiko
Sasa una chomsakama nini eti ulikua mbali sijui network wakati ulikua unaugulia maumivu ya kukosa tuzo. Pole eeeeh.
Hivi hao njiwa ulishawamaliza nataka nikuyungishe kidogo ili usipate tabu.
Cjamkataza kuvote just nimeuliza ah mie nilikuwa mbali sn uko hata network hamna mambo flan ya kusaka mshiko
naona umetumwa huku
Hapana ctatumwa sema nimeagizwa sema tena nimeagizwa
cute b, @ abou saydou, geniveros, Diva Beyonce au Avemaria na mwingine yeyote msaada naomben ile caption ya ndomo anasema tuzo zimejaa darlin abaki na zile za kili...please yeyote.Nliona kwenye uzi fulan