cute datty
JF-Expert Member
- Jul 11, 2014
- 582
- 277
Woyoooooooooo
Woyooooooooooo
Woyooooooooooo
Woyoooòooooo
Woyooooooooo
Ally Kiba anashukuru sanaaaa
Ameahidi safari hii hatokaa kimyaaa
Mtajinyea nyea na kujiharishiaaaaa
Alivochukua ndomo ilikua fair ila akichukua mwingine ni unfair
Yani nyokolost wote andaeni vyooooo
Jamani kwani ile tuzo ya wimbo bora wa kushirikishwa si wanapewa Wote au...ikiwa ni ivo itakuwa 7.
Team ndomooooooo woyooooooooooooo
Kiba for real....nimeenda kumletea domo shida adi kaniblock
Umeona eeh peterchoka