Bila king kiba muziki wao haujauzika bado, king kiba ndiye anayemfanya mondi kutafuta makolabo kila kukicha hahhhahaha!! Big up king kiba kwa kuboost wasanii wadogo ili walau watoke kwa makolabo

unanitaka tehMsilazimishe kila mtu ampende mondi bana, kwani nyie hamtoshi?? Mbona hamjiamini jamani, mnakuwa kama mandorrrrobo bana
Diamond mbona wanamubali sana tu na nyimbo zake lazma wazcheze sema tu wanamchukia kwakua alimwagana na wanjiru
Bora umwambie maana sijui amekula choroko zilichochacha anaachia tuu mishuzi bila mpangilio.
Na nitampigia kura kila mtu na sio domo kwani lazima?
Eti mkuu ni lazima kumpigia kura domo?
Hapana si lazima ,unapaswa kumpigia kura unaempenda kama hata kama ni SARKODIE we mpigie tu usisikilize kelele za vyura utapoteza mwelekeo

Teh teh teh kuna watu karibu wanachanganyikiwa kama nawaona vile walivyo na maumivu. Unajidanganya umpendi mtu but u care so much inabd ujifikirie mara 2 hiyo ni love or hate?
Mwenye link ya kuvote for Diamond plz niwekee hapa mie staki kuidhulumu nafsi.
Izo link unaziulizia apa kwani kuna domo huku? Tembea na gepu
Bado napiga kuraa.
Domo haambulii ata ya bahat mbaya
Teh teh teh kazi unayo mwaka huu. Wenye akili zao wanakushangaa ila siunajua tena 'mwenzao' lazima wafanye kama wanakusapoti. Ila dah that's too much unavyomchukia huyo jamaa ata akifa sijui kama utauzunika .. Kisa haswa? Pole sana ukikuwa utanieleww.
Teh teh teh kazi unayo mwaka huu. Wenye akili zao wanakushangaa ila siunajua tena 'mwenzao' lazima wafanye kama wanakusapoti. Ila dah that's too much unavyomchukia huyo jamaa ata akifa sijui kama utauzunika .. Kisa haswa? Pole sana ukikuwa utanieleww.
Teh teh teh kuna watu karibu wanachanganyikiwa kama nawaona vile walivyo na maumivu. Unajidanganya umpendi mtu but u care so much inabd ujifikirie mara 2 hiyo ni love or hate?
Mwenye link ya kuvote for Diamond plz niwekee hapa mie staki kuidhulumu nafsi.
Hahahahaaa niwekee link na mimi nipige mumy.
Miss you...
Toa unafki wako hapa ndoooorobo wewe.Nani alokuambia anamshangaa cute b? Mbona wenzie tumeanza kuvote tokea jana?
Huna habari eeh? Bahati yako device yangu nimeifanyia hard reset ningekuwekea screen shots za jana nilizompigia Wizkid.