Ali Kiba Fans' Special Thread...

Vanessa mdee Nisha mvotia
 

Attachments

  • 1434172179217.jpg
    30.6 KB · Views: 99
nifah niombee bhana huu mchepuko wangu davido achukue bhana.
Yaan nimepiga kura adi na hanganyikiwa.
Domo haambulii kitu
 

Attachments

  • 1434174642445.jpg
    25.7 KB · Views: 106
Last edited by a moderator:

nifah tunzo za Kill haziamuliwi na kura pekee bali hata majudge...
Speaking of that man is insane....
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi wanaigeria hawatakubali kuibiwa kura tena labda mashabiki wa iyanya wanaweza mpa mpa kidogo sababu msanii wao kashirikishwa. Imethibitishwa kuwa domo bila kubebwa na wasanii wa nigeria hamna kitu, hana pumzi wala punch katika sauti yake.
 
Diamond mbona wanamubali sana tu na nyimbo zake lazma wazcheze sema tu wanamchukia kwakua alimwagana na wanjiru

Msilazimishe kila mtu ampende mondi bana, kwani nyie hamtoshi?? Mbona hamjiamini jamani, mnakuwa kama mandorrrrobo bana
 
Pumbaafuuu weweeee hata sisi tumepiga kula alah!!!

Weweweweeeee shika adabu yako mwanaizaiyaa uso na haya mchambia amira.
Kwani ukipiga kura inanihusu nini wewe kafi.ri. usizani kila mtu ni sawa na wale ma.laya wako wa kule uswahilin.
Unanitukana unanijua nyau wew. Tafuta hadhi yako kawetukane msengerema wew.
Tena shika adabu paka shume wew siku nyingine kamwite pumbavu mama yako mzazi
 
Ni chiz ambae hategemei kupona
Yeye anamlalamikia kiba tu tangu tuzo za watu kana kwamba hakuna washiriki wengine

Huyu mtu mpana kama kabati sijui kwa nini analazimisha kiba kukosa tuzo na mondi kupewa hivi haoni post zake ndio zinafanya watu wazidi kumdiss mondi na kumpa kura kiba??? Sisi watanzania tunamkubali kiba yeye kama anataka kumuuza mondi aende huko nigeria, sisi tumeridhika na cheketua mpaka cd iskraaach scraaaach kama king'amuzi cha kontinento hahahhaahhaahhah!
 
Sasa hivi wanaigeria hawatakubali kuibiwa kura tena labda mashabiki wa iyanya wanaweza mpa mpa kidogo sababu msanii wao kashirikishwa. Imethibitishwa kuwa domo bila kubebwa na wasanii wa nigeria hamna kitu, hana pumzi wala punch katika sauti yake.

Yaani domo hachukui kitu
 
Kila mtu ana msanii wake anaempnda
Cha ajabu nini yeye kumpigia kura wizkid ?
Imekuuma nini mpaka umuite ndorobo cunt wewe !!

Bora umwambie maana sijui amekula choroko zilichochacha anaachia tuu mishuzi bila mpangilio.
Na nitampigia kura kila mtu na sio domo kwani lazima?
Eti mkuu ni lazima kumpigia kura domo?
 
yani tunapoelekea hadi tuzo wataangali followers wa instagram

Watu wengi istagram wanafuata skendo tu, domo kila siku matukio mara anatembea na shuga mami mara maza ake ana serengeti boy sasa kwa nini usipate wambeya wa mjini kukufollow ili kupata habari hahahahahhaha!! Boya sana yule dogo
 
mtu kama kedrick cjui anafuata nn kwa KING KIBA nyambafu

Bila king kiba muziki wao haujauzika bado, king kiba ndiye anayemfanya mondi kutafuta makolabo kila kukicha hahhhahaha!! Big up king kiba kwa kuboost wasanii wadogo ili walau watoke kwa makolabo
 
Watu wengi istagram wanafuata skendo tu, domo kila siku matukio mara anatembea na shuga mami mara maza ake ana serengeti boy sasa kwa nini usipate wambeya wa mjini kukufollow ili kupata habari hahahahahhaha!! Boya sana yule dogo

kweli mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…