Ali Kiba Fans' Special Thread...

sawa nifah ila nindolee kedrick

Hahahaaa, hiyo ni nazi yetu hapa.Wewe akija usimjibu wala nini...
Atajisemea weee mwisho ataondoka.
Hao wengine hawamjibu maana hawamuoni, wewe kama hutaki kumuona muweke kwenye ignore list.
 
Hahahaaa, hiyo ni nazi yetu hapa.Wewe akija usimjibu wala nini...
Atajisemea weee mwisho ataondoka.
Hao wengine hawamjibu maana hawamuoni, wewe kama hutaki kumuona muweke kwenye ignore list.

Unamuona huyu
 
Attachments

  • 1434129563152.jpg
    103.2 KB · Views: 136

Imekuwaje? Mbona mamb ymeingiliana
 
Last edited by a moderator:
Jamani huyu tutusa asiwape shida, ameshasikia tetesi kua Kiba kesho atazoa tuzo nyingi ndio maana kaanza kulialia.
Na nyie Kill Musis Awards tunaomba kesho mfanye fair, hujuma yoyote hatutoivumilia na tutazipotezea hizo tuzo zenu.
Haiwezekani tupige kura halafu tunyiwe haki yetu kisa kichaa fulani aliyetumwa na watu fulani kalalamika.
 
huy baba chizi huyu...!!

Tuachane nae tutusa huyo, tunachotaka ni hao Kill watupe haki yetu.
Maana wenyewe walikiri kushangaa watu wengi walivyopiga kura mwaka huu tofauti na miaka yote.
 
Achana na huyo mfa maji msengerema le takozzz..
Unamwona kwa ajili hujamweka ignore list mweke na wew. Mimi sijamuona ata. Kwani kasemajeee.
Mweke ignore list

Shoga na wewe leo umepatikana? Naona post yangu ya ule uzi wa umbea imehamia hapa!
 
Yaani mamy kiba asipochukua izo tuzo lazma kuna wizi na sitakaa nipige tena kura ata ya uraisi
 
Acha tuu mamy....nimeshangaa..ivi kudelete post ndo unafanyaje?

Acha tu wala usihangaike maana hiyo post ilikua yako pia.
Ila kama unataka kujifunza hold hiyo comment yako kisha kwenye options chagua open in browser. ..
Halafu open kwa kutumia ile chrome yako, kisha huko utaona option ya kudelete post ndio ujiongeze.
 
Tuachane nae tutusa huyo, tunachotaka ni hao Kill watupe haki yetu.
Maana wenyewe walikiri kushangaa watu wengi walivyopiga kura mwaka huu tofauti na miaka yote.

Ivi mamy izo kura za MTV Unapiga?
Mimi kusema kweli nikipiga nitampigia vanesa tuu domo haambulii kitu maana kura nitampigia afu atakuja kujitapa humu akuuuuuu
 
Ivi mamy izo kura za MTV Unapiga?
Mimi kusema kweli nikipiga nitampigia vanesa tuu domo haambulii kitu maana kura nitampigia afu atakuja kujitapa humu akuuuuuu

Mimi mbona nimeshampigia na Wzkid kama msanii bora wa kiume?
Nimeshamliza zamani na nitapiga kadri ya uwezo wangu, chezea mimi wewe? Ndio maana watu wananimwagia mapovu ninavyowapa vihoro.
 
Mimi mbona nimeshampigia na Wzkid kama msanii bora wa kiume?
Nimeshamliza zamani na nitapiga kadri ya uwezo wangu, chezea mimi wewe? Ndio maana watu wananimwagia mapovu ninavyowapa vihoro.

Kumbe unaeza ukampigia ata msanii ambae hayupo nchini kwako?
Ebu acha nifate izo link zao nimpigie davido maana kweny IG yake naona tim domo wanapambana wanamwambia domo kamzidi
 
Kumbe unaeza ukampigia ata msanii ambae hayupo nchini kwako?
Ebu acha nifate izo link zao nimpigie davido maana kweny IG yake naona tim domo wanapambana wanamwambia domo kamzidi

Haya kampigie davido wako mimi na Wizkid tu na tutaona nani atashinda.
Hahahahaaa
 
Mimi mbona nimeshampigia na Wzkid kama msanii bora wa kiume?
Nimeshamliza zamani na nitapiga kadri ya uwezo wangu, chezea mimi wewe? Ndio maana watu wananimwagia mapovu ninavyowapa vihoro.

Watajitapatapa hapa kama mitoto midogo.
 
Huyo jamaa ni mjinga sana nataka alete hilo tamko lake huku limejaa utoto mtupu na uongo wa kutupwa.. nimeshangaa sana kama ndio hizo zinaitwa fact... Teh Teh...nilisema hatokuja na fact wala evidence zaidi ya uongo na uchonganishi!

Ana wadaganya watu heti Basata wameingilia Tuzo kumbe hajui hizi tuzo ni za Basata na Kill ni wadhamini tuu na shughuli yote ina ratibiwa na Basata Kill wanacho fanya ni kuwezesha kwa fedha tuu! huyu jamaa ni mjinga sana...
 
nimecheka sana niliposoma hilo gazeti la le mutuz....mi alikwishaniblock zamani ndo nimelisomea hapa...kama hiyo ndo akili kubwa na tena ndo digree 3 basi inawezekana jamaa ana cheti cha wodi ya vichaa...na huenda mpaka sasa bado ana hang over ya ukichaa...yaan hata mdogo wangu wa kindergarten hawezi kuwaza upuuzi ule..aisee bora unyimwe vyote upewe akili...yan mtu mzima vile anaandika utumbk huo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…