aaah sana!
Mie hiyo nyimbo nilivyoiona nilicheka sana....mradi tu wameweka vimaneno vya kunogesha nogesha.
dah asante KingKiba kwa lile dance la mwana hakika haichoshi.
ndo akili yao ilipoishia. ngoja tusubiri chekecha video uone dance la humo
Kilio cha mama chibu kimeniumiza sana, lazima tuandamane hadi dogodogo wa mama arudi.
Kilio cha mtu mzima kina mengi!
Ila wamama nao watulie jamani......wanaaibisha watoto zao au wajitose tu kama Natasha!
Ila wamama nao watulie jamani......wanaaibisha watoto zao au wajitose tu kama Natasha!
Chekecha cheketua dance.....dah nalisubiri kwa hamu!
Dawa yake kumpotezea tu ameshaona sifa. Hawa mashabiki wadomo kwa kujizalilisha hawatumii akili. Sasa mtu kumshabikia kiba imekua kosa. Waswahili bwana wana matatizo.
Umesema jambo la maana sana Avemaria.Ila ukumbuke kua tabia ni kilema hakiponi, huyu mama ndio tabia yake hivyo hawezi kuacha.
Sisi hua tunajiuliza hivi domo haoni aibu kwa mambo yake yale kumbe karithi kwa mama?
Hakika tunda halianguki mbali na mti.
Naona wamelala muda huu, anyway mkiamka pitieni huko jamaa ana vitu vitatu vikuu vya maana. Carrier development ndo tunahitaji. Shime twendeni mkaone huku MTV, NEA na collabo na KCEE. Mbona rahaaa, Mr. Floor upo?

Mmmh! Nyie watoto kwa umbea siwawezi, duuuuh yaani huwa sipendi wazazi wanapodhalilishwa jamani, lkn why huyu mama jamani na utu uzima huo afanye hayo? Anajua kabisaa kwavle mwanae maarufu lazima naye ni maarufu so inatakiwa ajichunge haswaaa, siombei kabisaaaa hizo picha cjui tape zivuje maana hapana kwakweli!!!
Naona wamelala muda huu, anyway mkiamka pitieni huko jamaa ana vitu vitatu vikuu vya maana. Carrier development ndo tunahitaji. Shime twendeni mkaone huku MTV, NEA na collabo na KCEE. Mbona rahaaa, Mr. Floor upo?
Mwenzangu mama mzima yule kubeba mimba tena ya dogodogo huku mwanae anahangaika kupata mtoto ni aibu iliyoje?
Ndio maana waliitoa fastaaa, mama mtu mzima yule angekufa kwa kutoa mimba ni zaidi ya aibu.
Kijana wa watu akaona isiwe taabu, akaenda zake kuoa, bado anambembeleza warudiane!
Nyeg* hazina umri kwani bi mkubwa kubanjuliwa ajabu! Mi sioni hata cha kushangaza hapo labda kikija kikubwa ntashangaa
Bro bro nyegezi hazina umri, wala hazina mwenyewe yani mi hata nkiona ajuza ataoambwa sioni cha ajabu, kuna vya kushangaza ila sio swala la kukunwaDoooooh hata mwanamke mwenye miaka 100 ana nyegezi?
Bro bro nyegezi hazina umri, wala hazina mwenyewe yani mi hata nkiona ajuza ataoambwa sioni cha ajabu, kuna vya kushangaza ila sio swala la kukunwa