Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Hata ivo alikuita beach girl, maybe unapenda sana kushinda ufukweni.
Hii lugha ya Malikia ni tatizo.Ila kama alimaanisha alichotaka kumaanisha huyu mtu ni mkorofi sana na kavuka mipaka ya ushabiki ndumba wake.
Huyu nilimuelewa sana hakumaanisha hii ya kawaida. Kwanini ahisi vitu visivo na ukweli. Kaandika hvo kwa ile meaning nyingne akakosea kuiandika kiusahihi.
Kubwa jinga lile tupa kuleee!Ikibidi weka kwenye ignore list. Jamaa mshenzi sana yule, nini maana ya kuwepo kwa threads mbili tofauti ama kule kwao kumebanana sana kiasi kwamba ushuzi wa ndomo wao anakuja kujambia huku? Anatufanya sie wajinga....kwani mpaka tumeamua kumchagua Kiba hatukujua ka kuna Diamond? Mfyuuuu zake, huyo ndo atakuwa wa kwanza kukaa kwenye ignore list tangu nijiunge jf!
+Upo sawa kabisa, huo ndo ukweli ingawa mchungu inabidi waunywe tu hamna jinsi
+nipo hapa kipembeni nasubiri nione mapovu yakimwagwa!
Wana Anzaje sasa kutoa povu kwa kitu ambacho ni FACT.
uzuri wetu team Di. , hatuchoki wapa elimu hawa ndugu zetu.
+Yeah team Dai ni fact tu no stress, lazima waelewe hata km vichwa vigumu vipi.
1. Wote ambao tupo team DIAMOND tulikua wapenzi wazuri wa ALLI KIBA once.
2. Bifu walilianzisha wenyewe team kiba, kumchukia DIAMOND bila sababu. Ilhali uzembe alifanya kiba mwenyewe kujipoteza ktk game.
3. Diamond hajawahi kukiri ktk media kwamba ana bifu na ALLI, ila Kiba amejitamba here n there kwamba hampendi DIAMOND.
4. BIFU.: team kiba kwasasa wanategemea ugomvi huu uendelee. Kwani watu wanalazimika kupay attention.,,as in Whats up with these two.!! KINYUME NA HAPO KIBA ANGESHA RIH mdaa.
5. Diamond ni ICON ambayo lazima kila msanii ameichukua kama njia ya mafanikio.
Ahsanteni. UJUMBE HUU USOMWE KATIKA MEDIA.
Mambo mamy?
Ivi ukimtupiamo huko kweny ignore list sitaona ushenzi wake ee? Au inakuajeeeee
Beach girl ndio nini?
Anajitia wazimu ila anajua alichotaka kumaanisha.
Amemuita hivyo makusudi ila maana yake ni ile nyingine,kaogopa maana angeandika ile nyingine angepigwa ban.
Kabisa hebu tujifunze asee kama unamkubali team Flani ni wewe,hata siku moja shabiki wa ronaldo hatomkubali messi so tujaribu kuandika vitu vya maana
Yeah, utakua huoni dear.
Mabingwa wa matusi, wakirudishiwa wanaanza kulialia kama mitoto ya kike.