vidodi JF-Expert Member Joined Sep 4, 2014 Posts 363 Reaction score 130 Jun 6, 2015 #10,421 Hizo ni baadhi ya stations chache za kimataifa zinapiga video za king wa bongo au muimbaji bora wa kiume Tanzania nzima Attachments 1433591762774.jpg 30.3 KB · Views: 1,434 1433591785523.jpg 20.7 KB · Views: 1,349
Hizo ni baadhi ya stations chache za kimataifa zinapiga video za king wa bongo au muimbaji bora wa kiume Tanzania nzima
Abou Saydou JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 2,948 Reaction score 2,112 Jun 6, 2015 #10,422 kedrick said: Ilichezwa Mara ngapi Click to expand... Inachezwa mpaka kesho Ndorooooooobo ww
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Jun 6, 2015 #10,423 Abou Saydou said: Inachezwa mpaka kesho Ndorooooooobo ww Click to expand... Sio makosa yako n makosa ya mtindio wa ubongo unaoumwa hopefully uta recover one day
Abou Saydou said: Inachezwa mpaka kesho Ndorooooooobo ww Click to expand... Sio makosa yako n makosa ya mtindio wa ubongo unaoumwa hopefully uta recover one day
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jun 6, 2015 #10,424 Oyoooooo! Hizi ni salamu kwa mtaa wa pili, jipangeni kwa dhoruba kali mwaka huu.. NDIO TUNAKUJA HIVYOOO!!!
Oyoooooo! Hizi ni salamu kwa mtaa wa pili, jipangeni kwa dhoruba kali mwaka huu.. NDIO TUNAKUJA HIVYOOO!!!
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 6, 2015 #10,425 Wew mtoa uzi umeukosha moyo wangu sana adi nahisi kushiba... One love
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jun 6, 2015 #10,426 cute b said: Wew mtoa uzi umeukosha moyo wangu sana adi nahisi kushiba... One love Click to expand... Hata mimi amenikosha sana kwakweli.
cute b said: Wew mtoa uzi umeukosha moyo wangu sana adi nahisi kushiba... One love Click to expand... Hata mimi amenikosha sana kwakweli.
Fourier JF-Expert Member Joined Dec 24, 2014 Posts 218 Reaction score 76 Jun 6, 2015 #10,427 Nawezajee Kupata Nyimbo Yake Hii Mpyaa... Msaada Wa Link Tafadhali
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 6, 2015 #10,428 nifah said: Hata mimi amenikosha sana kwakweli. Click to expand... Tumeshapaaa mamy adi raha yaaaniiiiii
nifah said: Hata mimi amenikosha sana kwakweli. Click to expand... Tumeshapaaa mamy adi raha yaaaniiiiii
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,514 Reaction score 3,349 Jun 6, 2015 #10,429 Mmepaaa kwenda wap..tim kiba kwakujipa matumain
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 6, 2015 #10,430 nifah said: Hata mimi amenikosha sana kwakweli. Click to expand... Ivi kumbe lukelo sakafu yupo nje eeeh..naona yy hajabaatisha tiket ya kurudi duuu watu wangeshakoma humu ndani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
nifah said: Hata mimi amenikosha sana kwakweli. Click to expand... Ivi kumbe lukelo sakafu yupo nje eeeh..naona yy hajabaatisha tiket ya kurudi duuu watu wangeshakoma humu ndani
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jun 6, 2015 #10,431 cute b said: Ivi kumbe lukelo sakafu yupo nje eeeh..naona yy hajabaatisha tiket ya kurudi duuu watu wangeshakoma humu ndani Click to expand... Jamani mbona yule ni mpole tu walimfanya nini? Nimehuzunika sana. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
cute b said: Ivi kumbe lukelo sakafu yupo nje eeeh..naona yy hajabaatisha tiket ya kurudi duuu watu wangeshakoma humu ndani Click to expand... Jamani mbona yule ni mpole tu walimfanya nini? Nimehuzunika sana.
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 6, 2015 #10,432 nifah said: Jamani mbona yule ni mpole tu walimfanya nini? Nimehuzunika sana. Click to expand... Sielew ata alafu hanaga ata hasira ata matusi yeye jibu lake ni K 4real tuu
nifah said: Jamani mbona yule ni mpole tu walimfanya nini? Nimehuzunika sana. Click to expand... Sielew ata alafu hanaga ata hasira ata matusi yeye jibu lake ni K 4real tuu
Baba Wille JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 548 Reaction score 554 Jun 6, 2015 #10,433 Kama photoshop vile maana pozi ni moja na mkao mmoja, kwamba mtu aliotea channel zote 2 sehemu exactly hyohyo ya nyimbo? Mhhh!! Anyway, mkifikia kupata matamasha huko msisahau kujitambulisha kuwa mnatokea anakotokea Platinumz!! 😂
Kama photoshop vile maana pozi ni moja na mkao mmoja, kwamba mtu aliotea channel zote 2 sehemu exactly hyohyo ya nyimbo? Mhhh!! Anyway, mkifikia kupata matamasha huko msisahau kujitambulisha kuwa mnatokea anakotokea Platinumz!! 😂
uporo wa wali ndondo JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,454 Reaction score 2,242 Jun 6, 2015 #10,434 Hivi kwanini team kiba wengi wao,wanakuwaga na hasira na matusi sana kama mashabiki wa simba na manchester united?
Hivi kwanini team kiba wengi wao,wanakuwaga na hasira na matusi sana kama mashabiki wa simba na manchester united?
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jun 6, 2015 #10,435 wille mwinuka said: Kama photoshop vile maana pozi ni moja na mkao mmoja, kwamba mtu aliotea channel zote 2 sehemu exactly hyohyo ya nyimbo? Mhhh!! Anyway, mkifikia kupata matamasha huko msisahau kujitambulisha kuwa mnatokea anakotokea Platinumz!! 😂 Click to expand... Wewe nae acha kujitia aibu, nenda basi hata kwa millardayo ukajionee. Maana hujui lolote halafu unataka kutuletea pumba zako hapa. Photoshop ili iweje?
wille mwinuka said: Kama photoshop vile maana pozi ni moja na mkao mmoja, kwamba mtu aliotea channel zote 2 sehemu exactly hyohyo ya nyimbo? Mhhh!! Anyway, mkifikia kupata matamasha huko msisahau kujitambulisha kuwa mnatokea anakotokea Platinumz!! 😂 Click to expand... Wewe nae acha kujitia aibu, nenda basi hata kwa millardayo ukajionee. Maana hujui lolote halafu unataka kutuletea pumba zako hapa. Photoshop ili iweje?
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Jun 6, 2015 #10,436 Majirani zetu sijui wako wapi?Karibuni tushare uzuri wa king
Dickson mwaipopo JF-Expert Member Joined Mar 3, 2015 Posts 480 Reaction score 459 Jun 6, 2015 #10,437 nifah said: Oyoooooo! Hizi ni salamu kwa mtaa wa pili, jipangeni kwa dhoruba kali mwaka huu.. NDIO TUNAKUJA HIVYOOO!!! Click to expand... duuh kwel watu ni wakeleketwa!
nifah said: Oyoooooo! Hizi ni salamu kwa mtaa wa pili, jipangeni kwa dhoruba kali mwaka huu.. NDIO TUNAKUJA HIVYOOO!!! Click to expand... duuh kwel watu ni wakeleketwa!
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,292 Jun 6, 2015 #10,438 uporo wa wali ndondo said: Hivi kwanini team kiba wengi wao,wanakuwaga na hasira na matusi sana kama mashabiki wa simba na manchester united? Click to expand... Sasa apa unamuuliza nani? Nenda ka google
uporo wa wali ndondo said: Hivi kwanini team kiba wengi wao,wanakuwaga na hasira na matusi sana kama mashabiki wa simba na manchester united? Click to expand... Sasa apa unamuuliza nani? Nenda ka google
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Jun 6, 2015 #10,439 cute b said: Sasa apa unamuuliza nani? Nenda ka google Click to expand... Yani nimecheka balaaaa
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Jun 6, 2015 #10,440 He heee mmeona mwezii.... Sisi tumeshazoeaaa... Yan kuonyeshwa kwenye vichanel viwil tu mnaanza fujo