Ali Kiba Fans' Special Thread...

Haaah mbona wenzako wananitafuta n ninawapa mikeka wanakula ela n ww usione aibu sema nikusaidie una bet mia 200 ule laki 2 hatufanyi ivyo weka laki ule laki 5

Ugawe hela wapi, hapa unasubiri mpaka domo aje asome comments zako akulipe ndo ule. Kiba anawapelekapeleka mpaka mnafungua id mpya mchezo
 
Attachments

  • 1432788864681.jpg
    49.6 KB · Views: 58

Huyo kende sijui kedrik, hamna haja ya kumlipukia sana, dawa ni kupiga kura tu, watakuja wengi kwa id mpya, wamepagawa kwa audio tu, hahahhahaha! Kiba usiachie video bana, utafanya watu waende milembe bure
 
Coco umeckia nyingine hii hapa designer alikubali kitu original πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ waliabika team wema, kiba n jokate n kuna msanii Ali diss basi akawa mpole akafuta li post lake
 
Attachments

  • 1432789078813.jpg
    35.7 KB · Views: 61
Huyo kende sijui kedrik, hamna haja ya kumlipukia sana, dawa ni kupiga kura tu, watakuja wengi kwa id mpya, wamepagawa kwa audio tu, hahahhahaha! Kiba usiachie video bana, utafanya watu waende milembe bure

Kweli mkuu acha niendelee na zoezi niachane na huyu fa.la
 
Haaah mbona wenzako wananitafuta n ninawapa mikeka wanakula ela n ww usione aibu sema nikusaidie una bet mia 200 ule laki 2 hatufanyi ivyo weka laki ule laki 5

Nazani nishakujibia eneo husika. Usijivunge kama hujaona. Nenda pale kaandike pumba zako nyau wew
 
Mamii hilo ni tatizo lao kuanzia boss wao, so walaaa wasikuumize kichwa (uswahili umo damuni), acha tu wajilete wataenda wapi kwa mfanoooo!! Lazima wapite humu kwa Le King himself the royal family, so pop it up!!!
 
Mafanikio ya Kiba yanawafurukuta watu jamani, eti hadi wanampangia cha kufanya na ni lini afanye au afanikiwe, dooooh!! Just emagine kama sio kiba anawaumiza sn why wanatumia nguvu sn kumkandamiza!!! Na hawaishi midomoni, waswahili husema "ukiona unatumia nguvu sana kumjadili mtu, tambua kuna kitu kakuzidi"
 
Unasahau kuwa kiba hashindani na mtu bebe, halazimishi, na tunawaambia jaman kiba yupo local, mwana dar es salaam, channel za bongo zinamtosha kabisa mbona mnapagawa?? Mwamlazimisha apeleke nyimbo BET ili?? Huko pelekeni nyie bana wazee wa international hahhahahahahahah!!! Vipi mmeacha kuvaa feki[/QUOTE]

Hahahaaaa!! Yaani hawa mbulula ndio wanachangia sanaaa bosi wao kuonekana boya, haya wana intanashino, leteni linki tuwapigie kura you know when it comes to intaneshino hatuna hiyana sie twapiga kura tu.
 
Huyo kende sijui kedrik, hamna haja ya kumlipukia sana, dawa ni kupiga kura tu, watakuja wengi kwa id mpya, wamepagawa kwa audio tu, hahahhahaha! Kiba usiachie video bana, utafanya watu waende milembe bure

Waende mara ngapi na wametoroka hawajapona wakakurupukia huku, wao walidai ni wa intaneshino sasa mbona tuzo tena moja tu ya loko imewaumiza balaa, waache wazifungue tu hizo id hawajiamini km boss wao
 
Hahahaaaa!! Yaani hawa mbulula ndio wanachangia sanaaa bosi wao kuonekana boya, haya wana intanashino, leteni linki tuwapigie kura you know when it comes to inaneshino hatuna hiyana sie twapiga kura tu.[/QUOTE]

Hapa umeongea LA maana nitakuletea link June 11 just stay calm
 
Hahahaaaa!! Yaani hawa mbulula ndio wanachangia sanaaa bosi wao kuonekana boya, haya wana intanashino, leteni linki tuwapigie kura you know when it comes to inaneshino hatuna hiyana sie twapiga kura tu.

Hapa umeongea LA maana nitakuletea link June 11 just stay calm[/QUOTE]

Nenda kanijibu fa.la wew una bwaya bwaya ma.ta.ko yako huku? Hujaona nimekujibu eneo husika au?
 
Hapa umeongea LA maana nitakuletea link June 11 just stay calm

Nenda kanijibu fa.la wew una bwaya bwaya ma.ta.ko yako huku? Hujaona nimekujibu eneo husika au?[/QUOTE]

Unataka nikujibu nn me cjaona ulichoandika zaidi matusi mbona ya zamani nataka matusi mpya ndo nitakujibu so kaandike tena ila andika matusi mpya ndo nitakujibu
 
Nazani nishakujibia eneo husika. Usijivunge kama hujaona. Nenda pale kaandike pumba zako nyau wew

Nataka matusi mapya plz plz plz ili nikujibu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pyee yao.
Kwenye wimbo wa coco baby alikua anapumua pumua tu na kusema chaaa! Chaa!
 
kedrick
hahahaaaaa kumbe mwoga eee. Unazani wazee wa kubet ni wase.nge kama wew? Ungeenda ujibu pumba zako uone jinsi ungetahiriwa govi wew
 
Last edited by a moderator:
Coco umeckia nyingine hii hapa designer alikubali kitu original πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ waliabika team wema, kiba n jokate n kuna msanii Ali diss basi akawa mpole akafuta li post lake

Acha kulazimisha uhasim
Team jojo na Kiba wala havikua na muda na hayo malonya lonya.
Pyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…