Mbona unajipaisha sana we nyau?
Una pesa gani wewe appoh?!! Nyambafff usitake kuzingua watu alaaaa!!
Kutoka kwenye ugali na kachumbali hadi chips dume na soda vya kugongea hapo ndo umeadvance sana!
Kanunua feki??? Hahahhhhaaaa we si ulisema jana anavaa orijinale tu?? Ole wake na zile ndula zenye lebel ya.yeezy kama ni feki mbona atamtambua?? Hahahaaaaaaaaaaaa mbona kabadilisha post sasa kaandika stylist hahahhahah! Wazee wa DNA
Kitu original mtavaa sana nguo za mdosho kariakoo
Bora sie twavaa kariakoo,kuliko nyie mchina na kudai mnavaa vitu vya US hahhahahah chezea feki wewe, haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaa
Aisee yaan mtu yupo marekani ana gombania shati la mtoto wa tandale ka design yeye aisee halafu huyu designer anavalishaga august alsina cjui mnamjua huyo msanii august 😀
Naona umerudi tena!!!!
Ndio nimerudi ww unasema nguo n feki wakati n origino
Ndio nimerudi ww unasema nguo n feki wakati n origino
Kujeni hapa designer wenu kaongea ooh wapi timu mikono kapigeni miswaki maana Jana mmeongea #no fake zone
I mean nan kasema kama ngu0 original?
Tumia akili hapo kuna kitu kimefanyika sio bure why huyo jamaa firstly alisema kua hajatengeneza hyo product halaf baadae aseme ni yake...nyie timu domo weng ni mambumbumbu sie tushaelewa hapooo..hamna jipyaaa
We hujui English soma alishondika huyu roopers
Nan kasema?
Mtabakii ivyo ivyo jamaa ndo kajua nguo yke imevuka boda east Africa that y kaandika vile n ile comment yke ya kuibiwa kaifuta acha kupingana n ukweli
Mtabakii ivyo ivyo jamaa ndo kajua nguo yke imevuka boda east Africa that y kaandika vile n ile comment yke ya kuibiwa kaifuta acha kupingana n ukweli