Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahahahahaa uwiiiiiii! Asante kwa kunikumbusha nilitaka kusema hili nikasahau.
Ooh Kiba show zake za buku 10, vipi leo Le Billionaire anaenda kupiga show ya elfu 5?
Mwanamuziki wa kimataifa jamani aibu gani hii?

Hahaaaaaa eti za elfu kumi ni za masikini wao million Tatu. Kanishangaza Leo buku tano ndo anapiga. Kauli za kijinga bila kufikiri zinawaangamizaga wengi bora mtu angekua hajatoka uswahili amekulia maisha ya watu ka Bakheresa wapi. Wanaosahau walipotoka wana matatizo.
Ukiona hvo hali ngumu mama eeeh kuji pretend kusiko na msingi. Najua tuzo ya Kiba imempanikisha hata lala
Mwezi.
 

Hahahaaaaa!!! Yaani wanajitihada za id hawa watu, alafu wao wa intaneshino sijui hapa neshino wanahangaika na nn, hivi mwanza iko Tanzania au USA?
 

Hivi kumbe ni wavulana?? Nina mashaka na hilo, haiwezekani
 

Masikini akipata wowowo hulia mbwataaaa
 
Hahahaaaaa!!! Yaani wanajitihada za id hawa watu, alafu wao wa intaneshino sijui hapa neshino wanahangaika na nn, hivi mwanza iko Tanzania au USA?

Hahaaaas msanii wa neshino anamsumbua msanii wa kimataifa level ya Jay z na Leo kapiga show ya buku tano. Madai yao Mwanza ni USA na hyo ni show ya kimataifa.
 

hahahaha hebu miss wangu nijuze anaitwa nani huyo kiazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…