robinson10
Member
- Apr 27, 2015
- 79
- 22
Saivi dawa ni kutokumjibu.. au tumwambie alieanzisha huu uzi amweke kwenye ignore list maana sasa kana kera na mipicha yake ya wanyama pori
Wanamuogopa sana Ali Kiba, hofu ya jiji , mtu anitajie kitu kimoja tu ambacho Diamond amemzidi Ali, kimoja tu
Wanamuogopa sana Ali Kiba, hofu ya jiji , mtu anitajie kitu kimoja tu ambacho Diamond amemzidi Ali, kimoja tu
Wanamuogopa sana Ali Kiba, hofu ya jiji , mtu anitajie kitu kimoja tu ambacho Diamond amemzidi Ali, kimoja tu
Unazani atakuambia kingine tofauti na daimond kamzidi alikiba domo tuu.... ila vitu vingine wanajua wazi hamna
Diamond ana tuzo nyingi kuliko Ali kiba icho kimoja tu
Tuzo, gari, nyumba c nyumba mlango mbovu teke moja ushafunguka, vp ana jiita king Instagram ana followers wangapi n diamond VP, mafanikio ya kimuziki nani yupo juu twendeni kisomi kwa fact no matusi hapa mtu mwny elimu huwa hatukani ovyo angalia post yng hata moja km utakuta tusi akili kubwa n pia nimewazidi hadi nyie mashabiki wke kwa kila kitu
Et domo tuzo vp, Ali kiba ivi anaendesha gari gani,? State house haujaiona vp instagram nani ana followers wengi we cdhan km hata darasa LA 7 ulimaliza sibishani n watu wasiokuwa n elimu pyeeeee nimekuona huna elimu leo
Mbona unaruka ruka kama maharagwe yanayoiva , jibu swali au umezoea kubishana?
Inawezekana ww ndo chizi una mfanishaje diamond n kiba kiba ashidane n wakina rich makoko, baraka da prince, best naso sie tupo international
Kama unawashwa kijambio mabasha tupo kuwa muwazi tu.
Matola naomba ututolee hili bwabwa hapa maana tunakumiss sana wewe ndio unawawezeaga hawa wajinga wajinga.
Subiri wakija nitakuita.Hivi unapiga kura lakini?
Alienda kwenye utumbuizaji wa miaka 38 ya ccm na hiyo ilikua shukrani yao kwake, tafadhali nielewe hapo, nataka twende taratibu sana hiyo sitapenda tuizungumzie, kama unataka kuzungumza tuzo tuache habari za siasa nakuomba tuanze na hizi nominations za mwaka huu halafu turudi nyuma taratibu mwaka mmoja baada ya mwingine, tafadhali pia ondoa mawazo ya chuki kwa maana sio jambo jema kumchukia mtu bila sababuNangojeeea data zenu za tuzooo tunanza kufanya countdown kwa fact kuwa diamond n icon wa Tanzania hata kitabu cha ma icon kilicho zinduliwa cku ya muungano diamond yupo n marehemu kanumba ampumzike kwa amani ila nashaangaa king hakuwekwa
Diamond ana tuzo 15 za Kili awards, tuzo 8 za nje ya nchi Ali kiba na uhakika hata 7 za Kili hana leteni ushaidi