Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
nifah where are youuuu!! mimi mithi wewe, naomba umwambie Ms.Lincoln nimemnunia abou jamani tupia mambo basiiii
mwalimu geniveros usiadimike hivyo mama
huyo ndio nani tena? na anahusikaje hapa?
Wanamnyevuwanyevua huyo mswamehe bure.
Jamani tumchangieni mleta uzi please tumsaidieni hata buku buku inatosha... mimi nitatoa 5000 fanyeni hima wakuu... hamuoni uzi umedorora halafu Matola haonekani sikuizi
... yaani akiingia dakika 5 anatoka
...yote kutokana na bundle za net kupunguzwa mpaka 8 mb sasa shemeji yake amekua mkali kidogo kwa matola hasa katika masuala ya matumizi ya net. Kampa ruhusa ya kutumia only 1MB kwa siku..
Cc Ritz Bill Cosby THE BIG SHOW

Karibu airtel hizo ni weekly bundle OMG.Mimi natoa 10000
Kwa Ali kiba anatatizo la kutokujitangaza kwa kutosha alikuwa na show YA Zanzibar unaona a anandika tu 'Sauti za busara' ️sasa mtu anaelewa NINI hapo andika kinachoeleweka tukutane Sauti za busara tarehe flan BAsi then anasijui ndio dharau au kujisikia hayupo Karibu n washabiki zake na ndio apo mpinzani wake anapompiku
kwani ally kiba ana mpinzani!!!!
abou whts that?
Wimbo mpya Wa king
"chekecha" na hiyo ni nini abou?