Ali Kiba Fans' Special Thread...

teamkiba hawajui kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha kuna eksi na kuzdisha.vichachee!! DIAMOND PLATINUMZ ARE FOREVER.
 
teamkiba hawajui kutofautisha kati ya msalaba na jumlisha kuna eksi na kuzdisha.vichachee!! DIAMOND PLATINUMZ ARE FOREVER.

Wewe ndio kabisa hujui kutofautisha, huwezi mfananisha dmond na kiba hata mara moja, kwanza kiba longtime ago yupo kwenye game, pili anajua kuiba , nyimbo za kiba za miaka ya mwanzoni hadi leo bado zinakamata chart za juu kwenye radio stations kibao,

Kiba ana watu wake walkulinganisha nao lakini sio hawa watoto wajuzi wenye misifa kibao na mafanikio ya sifa za ngono bureee kabisa
 
Diamond platinumz are forever and alwayz in the music industry in the world.
 
Kumbe video ya mwana ni bora? Asante kwa taarifa.
 
DIAMONDS ARE SHINE IN THE INDUSTRY MUSIC IN THE WORLD AGREE OR NOT IN TANZANIA COUNTRY.teamwasafi,teamdmond,teamplatinumz,teamchibu,teamdiamond,teamdangote,teamzarimond.DIAMOND PLATNUMZ THE NEW BIG BOSS.
 
hilo wanalijua sanaaaaaaa, wanajitoa tu ufahamu

habari Matola umepotea sana jamani

Nipo ni michakato tu, Leo kuingia tu humu namkuta mtu anakatika mauno kama thread yao haioni.
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! kawaida yao wasamehe maana hawajui walitendalo!

DIAMOND PLATINUMZ changes the artists in tanganyika-zanzibar,one of them ali kiba kutoa kampuni moja na DIAMOND PLATINUMZ ya GODFATHER.kwani ali kiba hakuiona kampuni nyengne ambao inayofanya vizuri uko sauz-afrika kuipita ya GODFATHER while akijua kwamba WCB THE TEAM na yeye hawapatani? nanyi teamkiba hamulioni hilo? DIAMOND PLATINUMZ anaweza na anakubalika KIMATAIFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…