Ali Kiba Fans' Special Thread...

tatizo lakoo aliyekuumba ni binadamu angekuumba Mungu wewee usingenipotea, tena sana ningeombaaa niweze kukuoa uwe wangu moja kwa mojaa helaa, nishabeba hadi takataka nipate kulaa nikikupata unanitorokaa aaa helaa, ona hata masikiniii wakikupata wakishakula unatorokaa heelaa

hela hela hela helaaa........
 
DIAMOND PLATINUMZ NI MSANII WA DIJITO.ali kiba ni msanii wa analojia. DIGITAL na analogy wapi na wapi.afu teamkiba wanalazimisha kiba kuwa juu na kiba Kujiita Mfalme Wakati Hastahili Kujiita Mfalme Na Mfalme Anajulikana(DIAMOND),ali kiba ni PRINCE tu na akijitahidi atapandishwa cheo na kuitwa PRINCESS. DIAMONDPLATINUMZ NI MKALI KWA SASA KWENYE GAME LA MUSIC TANZANIA.NA MIZIKI INAYOSIKILIZWA NJE YA TANZANIA HII NI KWA AJILI MOND NA KAZI HII HAJAIFANYA ALIKIBA. DIAMOND ARE FOREVER IN THE MUSIC INDUSTRY IN THE INTERNATIONAL.
 

Umeandika nini sasa hapo?
 

Kwendaaaaaaa.......hunambii kitu naona unarojoka tu! Dedication wife wa dunia.
 
Last edited by a moderator:
alikiba ni mzee,inatakiwa kufananisha na mr.nice na sio kumfananisha na DIAMOND PLATINUMZ, coz alikiba atajifanya kutoa video kali si kutaka, bali kafundishwa na DIAMOND.angalia video zake zote za alikiba na video za PLATINUMZ.utagundua kwamba alikiba tangu aanze musik ndo video bora kwake yeye ni mwana tu kwishney na huwezi fananisha video za ZARIMOND hata 1.na ninyi teamkiba sijui hamjutambui!!! nadhani hamjui kujua DIAMONDS ARE FOREVER.Na RIHANNA ameimba kasema "shine bright like DIAMOND' you and i we are beautful like DIAMOND on the sky.$ DIAMOND PLATINUMZ NI DOLLAR NA EURO LAKINI ALIKIBA NI SHILINGI NA SHILING.
 



hhhhhaaayyyyaaa tumekusikia
tupe id yako ya zamani bassss
hii mpya nakuona km hujiamini vile!
 

ZARI MOND!hee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…