Ali Kiba Fans' Special Thread...

Haaa! Kuna mahali nlishikika kiumbeya afu nabanwa sana, mama mambo naona mazuri nyumbani....yani kawimbo katamuuu

yaani we acha tu! na hapo bado bampa to bampa, mbona watapona vichaa mwaka huu.
 
Hawezi kuisahau family hii pendwa mumy.Yupo busy sana hadi namuonea huruma!Hope atakua hapa soon kutupa nondo za ukweli kama kawaida yake.

namuona anapita kimyakimya!! teh teh teh
 

kimaso masoo mwanangu.........
 
Last edited by a moderator:
Teynaaaaa....mimi hapa natabasamu tu.Ni furaha iliyoje?
Naserebuka tu na kimasomaso hapa.

tusifurahi tuna shida gani labda!!! love ndio hiyo musiki mtamu ndio usiseme yaani kama napaa jamani

Muone vile!Bibi ana muandiko huu?Swaga za kidada kabisa hizi waongopee vipofu sio sisi..
Teh teh

nisaidie kumshangaaa!! we muache ajizeeshe tu! atazeeka ukweli
 
abou nakuona unapita kimya kimya!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…