hahahaaaaa!!! jamani yaani mimi mwana natamani iwepo tu kila mwaka sjui awe anabadili beat ili iwepo tuuuu!!! naupenda huu simbo jamani hautakaa uchuje kwangu!
Hahahahaaaa hiyo ndiyo habari ya mujini.
Promota akitaka kuwapandisha jukwaa moja King na diamond lazima aandae pesa za ziada za domo za kugawa jukwaani!
Kiba anachomfanya mwenzie sio vizuri kwakweli, adhabu yake inabidi aachie ngoma nyingine matataaaa!!! mbona tutauza hadi nyumba tulopanga ili tuhonge jukwaani!!