mashabiki tunawapresharize sana jana daimond alipaniki sana maskini dah
wafanyabiashara wa mziki ndo mda wa kuvuna huu
Mwana ni wimbo wa decade. ..kama wimbo ni pesa basi wimbo wa mwana wa ally kiba unanunua nyimbo zote za domond na chenji inabaki
mashabiki tunawapresharize sana jana daimond alipaniki sana maskini dah
wafanyabiashara wa mziki ndo mda wa kuvuna huu
watoe ngoma pamoja bas yaishe mi mwenzenu sipendi chuki chuki za ajabu ujue
hahahaaa!!! nifah naona unaanza kunisingizia mchana kweupeee!! usijali takuhonga buku usipotee tena!
Hahahaaaaa I would like to know them mumy.....
Ajabu hiyo,msanii ambaye kila siku wanatupigia kelele humu kua King mwisho dar lakini anamnyima usingizi ndomo wa kimataifa!
Heheheeeeee....
Umeona mwaya eeh?Ndomo alikua na pressure kubwa sana,kuzomewa si mchezo jamani!
Hata hivyo sidhani kama diamond atakubali tena kusimama jukwaa moja na King,la sivyo promota ampe na pesa za kugawa jukwaani kabisa.
Hahahahahahaaaaaa
Bwana ile mapenz maghorofa nimeickia daaah hatar mule ndani
Zoom hiyo picha angalia vizuri hyo bundle ni buku2mbili kma laki 5 hivi cz ni half y bundle nzima ya 1m
Mwana ni wimbo wa decade. ..kama wimbo ni pesa basi wimbo wa mwana wa ally kiba unanunua nyimbo zote za domond na chenji inabaki
Bwana ile mapenz maghorofa nimeickia daaah hatar mule ndani
U know Kiba afanyagi kollabo
Mwana ni wimbo wa decade. ..kama wimbo ni pesa basi wimbo wa mwana wa ally kiba unanunua nyimbo zote za domond na chenji inabaki
hili linabidi liingie kwenye maajabu saba ya dunia, hahahaaa!!!
Anamaanisha huyo King Lawrence (kama upo instagram nenda kamsearch) ana pesa hadi anahofia ni za sembe.Yeye na wenzie wa huko Ug.
hahahahaaaaaaaa pesa za kugawa mtamuua jamani
ndio alikuwa anazigawa wapi?
Akamroge kinglaurence uganda huko amuache kiba wetu
Akamroge kinglaurence uganda huko amuache kiba wetu