Ali Kiba Fans' Special Thread...

yaani watu kila afanyacho king wanaumia balaaa!! sasa wanataka wampangie na vya kufanya na kupost kwenye wall zake!!! khaaaa midume mingine taabu tupu!

Kibaaaaaaaaa!!! fanya yako baba na bado ndio kwanzaaaaa jua lachomoza
 
Wamebakiza kuzusha Kiba anamroga Diamondi mbegu zake zisitunge mimba.
 
Wamebakiza kuzusha Kiba anamroga Diamondi mbegu zake zisitunge mimba.[/QUOT

Khaaa khaaa watasema tu kamroga mbegu zisitunge mimba !!
 
Attachments

  • 1421076806335.jpg
    43.7 KB · Views: 54
  • 1421076828488.jpg
    38.7 KB · Views: 56
  • 1421076894356.jpg
    43.2 KB · Views: 53
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…