Ali Kiba Fans' Special Thread...

Bampa to Bampa imetoka wapi kwenye swali la Matola?
Jibu swali...hiyo style ya King baadaye....
Teh teh teh ....
Nimeiona imterview jamani!Kapendeza kijana wa watuu!
 
Last edited by a moderator:
ila bora wao mwenzngu Mdakuzi ndio simuelewi kabisaaa!!!(umbea suna)

Hahahaaaa! Poleni jamani, nimekuwa na mwezi mgumu sana kikazi, mambo mengi na ni lazima yaishe mwezi huu, nifah anajua.
Lakini sipendi mnikose kabisa ndo maana najitahidi kuchungulia humu. Na nafurahi mnavyonikumbuka ndugu zangu.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…