Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
- Thread starter
-
- #6,561
uh!! hayo wanaongeaga tu kujifariji ila ukweli wanaujua, sifa ya uanaume imebaki kwa wachache sana nowdays.
Kibaaaaaaa pop it in
Aaiii...safiiii!
My dear,achana nao!!Kabisa yani!It will never knock to their senses kuwa they manlyhood is questionable!
matumbo@Nkyah@sakni poleni sana km kweli ni me bas mna maisha magumu daah
Matola acha kuwalaghai hawa wanawake hapa teh teh teh
Unayajua maisha magumu wewe?? Ahahahaha kukimbia majukumu ya kusomesha ndio characteristic ya kwanza ya maisha magumu hahahaha, ya pili ni kukiri hadharani mwanamke wako anakuzidi kipato kisa kazichangachanga akanunua paso hahaha
Na mmejionea juzi hapa uzushi tu wa panya road wote hawa walijifungia ndani na waliokuwa bar walitimuwa mbio bila hata kuona walichokuwa wanakikimbia. Wanaume wamebaki wachache sana.
Ikiisha siku sijaangalia hii video huwa siridhiki kabisa. Kiba ana swagga zenye mvuto bhana acheni!
Unayajua maisha magumu wewe?? Ahahahaha kukimbia majukumu ya kusomesha ndio characteristic ya kwanza ya maisha magumu hahahaha, ya pili ni kukiri hadharani mwanamke wako anakuzidi kipato kisa kazichangachanga akanunua paso hahaha
Mkuu hii kitu itasababisha watu wakalazwe ICU, ukiongeza na hii kitu hapa chini.
kusoma kuelewa kukesha mbwembwe....!!!
yaani we acha tu, alafu huu wimbo hauchuji jamani kila cku ni mpya, Kiba noma sana
hahahaaaaa!!! msuli tembo matokeo sisimizi, hebu wakapumulie stress zao huko, watuache na king wetu
Tatizo Matola ni gogo la udi ukilichoma ndio linazidi kunukia.
Haters wanapata stress ukiwauliza sababu watakujibu basi tu.