Ali Kiba bado ni underground

wazawa

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
184
Reaction score
58
Akiwa amejisifu kuwa alipumzika nje takribani miaka mitatu huku akiwa tayari ashafika level za international ikiwemo kile anakisifia sana kufanya Kolabo na R. Kelly (One8), bado amerudi ki-underground tena local kwa nyimbo zake na aina ya Tour anayoifanya Chekecha Tour na kama anajitambulisha tena nchi nzima na sio kwenda mbele zaidi pale alipopacha miaka mitatu nyuma!
 
Ninaheshimu kazi zake na ni mwanamuziki mzuri. Ila Style yake kapanda mgongo wa Diamond ili akumbukwe inakera sana. Na kwa vyovyote vile kitaifa na kimataifa hawezi kujilinganisha na Platnumz. Ni ukweli mchungu.
 
ali kiba ni underground wa wap?
 
upuuzi wako peleka huko kwenu insta kwenye vitimu vyenu
na tabia ya kunywa viroba asubuh badala ya chai uache
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…