Ali Kiba azidi kugeza kwa Diamond Platnumz, sasa kuja na brand ya nguo na energy drinks

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,067
10,936
Mwanamuziki anayependelea kusafiria nyota ya Diamond Platnumz kwa kugeza ideas zake na kuzibadili kidogo, sasa anapanga kuzindua 'brand' ya nguo zake za KingaKiba (Jeans, Viatu, Tshirts) pia atazindua na 'energy drinks' zake.

Utakumbuka Ali Kiba anapenda league na Diamond maana ndio inasababisha azidi kuzungumziwa.

C_i0NcgWAAQ8FAR.jpg
 
imitation ni moja kati Ya njia kuu za kupata mawazo Ya biashara na Kuna industry zingine market followers wanafanya mpk counterfeit sijui nn cha ajab hapo
 
Mwanamuziki anayependelea kusafiria nyota ya Diamond Platnumz kwa kugeza ideas zake na kuzibadili kidogo, sasa anapanga kuzindua 'brand' ya nguo zake za KingaKiba (Jeans, Viatu, Tshirts) pia atazindua na 'energy drinks' zake.

Utakumbuka Ali Kiba anapenda league na Diamond maana ndio inasababisha azidi kuzungumziwa.

Kuna cocacolA,kuna pepsi,kuna mirinda kuna fanta,kuna azam cola,kuna mo cola,kuna azam energy kuna mo energy.
Kuna clouds fm,kuna Efm.
Kuna EATV,kuna TV E.
Swali linakuja,Diamond amekuja na Chibu,Kiba na energy drink WANAFANANAJE?
Punguza UCHAWI.
Pia ni mafanikio
 
Mwenzako anajaribu fursa na kuijaribu, wewe unakuja kum-dis hapa JF!!!
Sasa ulitaka Diamond ndo afanye biashara pekee?
Acha maneno Chapa kazi kijana
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna cocacolA,kuna pepsi,kuna mirinda kuna fanta,kuna azam cola,kuna mo cola,kuna azam energy kuna mo energy.
Kuna clouds fm,kuna Efm.
Kuna EATV,kuna TV E.
Swali linakuja,Diamond amekuja na Chibu,Kiba na energy drink WANAFANANAJE?
Punguza UCHAWI.
Pia ni mafanikio
Huyu mtoa mada boya kweli
 
Back
Top Bottom