Ali Kiba azidi kugeza kwa Diamond Platnumz, sasa kuja na brand ya nguo na energy drinks

Mmh kweli Diamond ndio mwalimu wa Alikiba. Daimond akifa lazima Ali Kiva naye afe maana Huyu ndio Idol. Lkn huu ushindani mzuri wa maendeleo wa kugeza mawazo ya wengine.
Acha upuuzi kama unazungumzia brand toka enzi zile Gangwe Mob wana brand yao ya Gangwe Gear itakuwa enzi zile hukuwepo mjini basi unaona kila kitu kimeanzishwa na Baba ako Dimond
 
huyu kiba ni kama tu ray kipindi cha kanumba....alitembelea nyota ya mwenzie wee alipokufa kanumba tu ray chaliii...
Ungetumia akili kama za mwanao ungejua kuwa Ali Kiba anatamba na kufanya show all over the world toka enzi zile Dimond anaosha vyombo studio kwa bob Junior sasa sijui umetumia akili za nani kusema kuwa Ali anatembelea Nyota ya Dimond
 
Umri umeenda hakuna ubunifu tena. Tukubali matokeo .
Acha ujinga mafanikio hayana umri wewe muulize mfano muigiza Morgan freeman ameanza kuwa billionaire baada ya kupata mafanikio kwenye filamu ameanza kuigiza akiwa na miaka 58 Leo hii ana pesa nzuri afu unamkatisha tamaa kiba ambaye hata 40 years hajafika
 
Huyu huwa simuaminigi, hua anapelekwa na matukio, hanaga mipango. Mgt mbovu.
Lets wait n see.
Hivi King's Music imefikia wapi ?

- Wasanii wake kama Abby Skills, Brown Mauzo, Kidoti na Abdu Kiba wako kimya !!
 
Ungetumia akili kama za mwanao ungejua kuwa Ali Kiba anatamba na kufanya show all over the world toka enzi zile Dimond anaosha vyombo studio kwa bob Junior sasa sijui umetumia akili za nani kusema kuwa Ali anatembelea Nyota ya Dimond
who cares kama alitamba kabla ya domo?
ukweli ni kwamba kwa sasa hamfikii huyo domo hata afanye nini!!
ye aendelee tu kuijaza dunia mwenzie anafanya kazi
 
dah ila wabongo tunabisha wenzetu wanapiga mpung wengine washatibua mavumbi wanaomba poo 360 wannatafta pa kuhemea kutembea na DAB halaf tunakuja jf tunasema oh domo mara king AK 47 wap na wap kimya kimya ndio mwendo mpaka mwizi atapiga kelele 360 kuomba vipindi hana bif wala nyama mtu hana habr kabsa ndo kwanza mfuko unatuna sitegemei kuwa ww mbongo UMESKIA Bill gates tajir ana mpunga mrefu wewe ushawah kuuona nop!! nae ni hvo hvo hayupo kuonyesha mkwanja wala account ina bei gn ila utaskia anazo mfalme!!! kama nimekukuna reply kama nimekuwasha like!
 
who cares kama alitamba kabla ya domo?
ukweli ni kwamba kwa sasa hamfikii huyo domo hata afanye nini!!
ye aendelee tu kuijaza dunia mwenzie anafanya kazi
Umeona ulivyo mpuuzi sasa....kwa hiyo umekubali kuwa Ali atembelei nyota ya Dimond ahaaaa ahaaaa we jamaa ni Msukule
 
Umeona ulivyo mpuuzi sasa....kwa hiyo umekubali kuwa Ali atembelei nyota ya Dimond ahaaaa ahaaaa we jamaa ni Msukule
hebu nitolee utoto wako hapa unaacha kujibu hoja unaanza kuni attack mara mpuuzi Mara msukule, kafie mbele huko
 
Naamini Diamond hapo alipo anacheka kweli kuona watoto wa kiume tena waliomzidi umri wanavyojigongesha kumsemea na kujipendekeza wakisahau ya kwao wakati yeye na Kiba wanapiga hela. Utakuta midume na sharubu zao inasimamisha mishipa kumkenulia dogo tena na vidole juu, mara Diamond ni mfalme, mara Kiba anasafiria nyota ya Diamond.....Basi dogo anacheka kweli kwani hawa watu bado wapo ZAMA ZA MAWE ZA KALE, yaani wanaamini upekee tu na kuiga kwao wanaona dhambi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom