SHABANIMAVOCHA
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 320
- 65
Kama kawaida anayejua bado anaongoza kwenye shindano la African NAFCA. Yaani categories zote 3 ni Kiba, Kiba mara Kiba.
Kila siku mi nasema hakuna simba anaeishi mjini labla awe anafugwa so yule anaejiita simba anafugwa na Kiba yaan ni KIBA + KIBA * KING KIBA.
Check kura hizo
Kila siku mi nasema hakuna simba anaeishi mjini labla awe anafugwa so yule anaejiita simba anafugwa na Kiba yaan ni KIBA + KIBA * KING KIBA.
Check kura hizo