Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Mkuu unakosea kulinganisha hivyo, unless uko kishabiki zaidi
Msanii anachoangalia ni maslahi yake, hii ya idadi ya watu ni immaterial kabisaaa! Hata akitumbuiza watu 5 ni sawa tu, si anapata chake bana!! Au umeambiwa malipo yake yanategemea gate collection??
Suala la idadi ya watu ni la waandaaji mkuu, si suala la Kiba na wala halimuhusu kabisa, kuweni honest!!
Hapo ndipo tunapo kosea kuangalia malipo tu,kujaa kwa watu kwenye show ya msanii kuna faida kubwa kuliko hiyo hela unayo lipwa kwa show moja,ujue nini? Watu wanavyo jaa kwenye show kila mtu anavutika na wewe na thamani yako kimuziki inazidi kupanda hii inapelekea hata kujitangaza kimataifa zaidi,hatimae hata ukitoa nyimbo zako inakua rahisi watu kukujua na hata mapromota wana kufikiria kwa jicho la saba wakitaka kufanya kazi na wewe.
Amka kijana waza 1000KM ahead na sio una waza ki futi 10.