mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,694
Ali Kiba amemfunika Shilole huko USA baada ya show yake kupata watu wasiozidi 30. Msanii huyu mwenye tuzo ya watu ambaye alitangaza kutopiga tena show za playback, lakini show hii aliimba juu ya cd mwanzo mpaka mwisho bila kuwa na bendi.
Cha zaidi alikuwa na mdogo wake Abdul ambaye alikuwa kama stage show wake siku hiyo. Mavazi walipendeza sana kwani walivaa mashati meusi ya bahama.
Shilole ajipange sana safari hii akirudi kupiga show za majuu kwani mwenzie kafunika mbaya haswa ukumbi aliotumia wenye muundo wa sebule na uliopambwa kwa mapazia ya kumeremeta. Big up K 4 real.