Ali Kiba amfunika Shilole show yake ya USA

Ali Kiba amfunika Shilole show yake ya USA

Ukijumlisha waandaaji, madj, mashabiki, wahudumu wa ukumbi na Alikiba + Abdukiba ndo wanaweza fika 30
 
Hii hatari sidhani kama mwandaaji alirudisha pesa yake ni kama siamini macho yangu
 
Hizi team kwakweli ni changamoto kubwa sana.. Inakuwa ukifanya tu kitu kisicho bora nishiiiida una kaliwa kooni hatari...

Ila daaaaaaaaaaaah...
 
nifah Angejaza watu angeweka picha, kwenye insta au facebook. Ila ni kweli jamaa hajapiga show ya maaana
 
Last edited by a moderator:
M nimekosa hata lakusema kwekweli mh" Kumbe unaweza ukawa King Africa alaf US ukachukuliwa kama diwani tu

Yaani ukachukuliwa CHIPUKIZI!!
anyway japo sikwenda ila kiujumla hii show haikufana according to status na level ya K4real
 

Daah hilo shati la Ali Kiba sio yale mashati ya tomato? Halafu hiyo mechisha ya nguo juu nyeusi katikati blue jeans chini viatu rangi ya Nyanya aisee. Hivi hana mtu wa kumpangilia mavazi?

Haya ndio madhara ya mazoea ya kuvaa moka!
 
Back
Top Bottom