Ali Kiba amfunika Shilole show yake ya USA

Ali Kiba amfunika Shilole show yake ya USA

Mkuu, upo sahihi sana kumcompare ali kiba na shilole, they are the same type, ukimkompea na daimond utakua unamuonea sana kiba,
 
Mbona huo ukumbi ni kama counter ya bar?

mkuu hata jukwaaa angalia ni kameza tu kamewekwa hawezi move hatua 10 ndo maana video zake alizopost sehemu ya mashabiki hajaonyesha wala sehemu ana move hakuna
 
img_8635.jpg


hio picha ni front row,mkono wa Ali Kiba unaonekana hapo. Na mwisho wa ukumbi unaoneka nyuma,sasa tuseme ukweli kuna watu hata 100 hapo???
 
Hii thread imewavunja moyo mashabiki wa Kiba, siwaoni kabisa humu ndani.
 
Chinga One itawavunja moyo wasiojua reality ya show za wasanii wa Bongo nje. Hiyo ndio hali halisi. Wanapiga show kwa ajili ya Watz wachache labda na Wakenya. Sasa mji mmoja wa UK au US una Watz wangapi hadi upate mashabiki wengi??
 
Last edited by a moderator:
RRONDO Na zile show za Chibu vipi? Mbona wanajaa? Au chibu yeye sio msanii wa Bongo?
 
Last edited by a moderator:
RRONDO Hao watu ni chini ya 25 kwa hesabu za haraka haraka. C kwamba tunafurahia lakini inasikitisha sana yan kana kwamba Tuna msanii mmoja tu Tanzania. Mana Kenya Jaguar alipata watu wengi na Sauti Soul US tour zao.
 
Last edited by a moderator:
BansenBurner ahahahaaaaa!!!halafu yale matambo ya instagram sasa!!diamond anatisha aisee
 
Last edited by a moderator:
Diamond show zake sikuhiz wanaenda adi wathungu hataree.

Wacha kabisa BB,yaani furaha niliyonayo haielezeki wallah!yaani hata Wema sepetu ambaye haimbi akisema aandae show USA atapata watu wengi kuliko hao Kiba square!!ahahahahahahahahaaaaa!!oooooiiii
 
Wacha kabisa BB,yaani furaha niliyonayo haielezeki wallah!yaani hata Wema sepetu ambaye haimbi akisema aandae show USA atapata watu wengi kuliko hao Kiba square!!ahahahahahahahahaaaaa!!oooooiiii

Hahahahahhaha unautani ww :sly::sly:😀
 
Akidhani alikua anashangiliwa kumbe anachekwa.. Wanaitwa imba kwenye kitchen party afu wajitapa hapa. Kupiga show US si rahisi ki hivyo.
 
Back
Top Bottom