Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,300
- 2,063
Ogopaa sana mtu aamiñiye uchawi 90% akipaliwa tu anasema Wachawi mmenishindwa🤣🤣 Kamwe ni smart sana ila hili katema chengaaa Dah! Inastaajabisha club kubwa kama Yanga Inasema mambo ya kindezii hivii.Wangehama then wakafocus mipango ya Timu basiii.