PreGE2025 Tetesi: Ali Hapi kwenda kumng'oa Mwigulu jimboni Iramba 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho aliyoifanya na kupiga picha na bibi huyo inasemekana imezalisha jicho la kuonwa na mama na kupewa Nafasi ya Ukatibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi. Hii yote ni kutokana na Ali Hapi kuonwa anawajali sana wazazi na anaweza kuwatumikia vema.

Hata hivyo mtazamo mkubwa uliopo ni Ali Hapi kuanza kutengeneza network hapo kijijini na Kiomboi Mjini ambako ameshapata namba za Viongozi wa CCM katika Kata 7 ambazo anategemea kuanza nazo katika kujitambulisha vizuri akitarajiwa kuleta upinzani mkali dhidi ya Dkt. Mwigulu ndani ya Chama.

Ali Hapi alisikika akitamaka wazi kuwa yeye ni muumini wa vipindi viwili vya ubunge zaidi ya hapo Mbunge huyo anakuwa hana jipya.

Hili linaonekana wazi kuwa lilikuwa ni ndogo dhidi ya Dkt. Mwigulu ambaye ameshatumikia vipindi vitatu katika Jimbo la Iramba.
 
Attachments

  • InShot_20210901_194140501.jpg
    InShot_20210901_194140501.jpg
    2 MB · Views: 19

Toka lini pilipili zika shindana Singida star
 
Huyo Hapi hana washauri wazuri ingawa huu ni uzi chonganishi usio na nia njema na Mwigulu Nchemba.
 
Upinde 🌈 🌈 🌈 haifai
Uwe na ushahidi wenye kujitosheleza vinginevyo ni kumdhalilisha mtu kisa uchawa wa kisiasa.

Wabongo tuna hulka ya kipuuzi ya kupenda kumchafua mtu ili aharibikiwe mbele ya jamii, ni roho ya kimaskini ambayo huja kuturudi sisi wenyewe mbele ya safari.
 
Ushahidi upi unataka kuwa jamaa sio upinde 🏳️‍🌈 🌈 🏳️‍🌈?
 
Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho aliyoifanya na kupiga picha na bibi huyo inasemekana imezalisha jicho la kuonwa na mama na kupewa Nafasi ya Ukatibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi. Hii yote ni kutokana na Ali Hapi kuonwa anawajali sana wazazi na anaweza kuwatumikia vema.

Hata hivyo mtazamo mkubwa uliopo ni Ali Hapi kuanza kutengeneza network hapo kijijini na Kiomboi Mjini ambako ameshapata namba za Viongozi wa CCM katika Kata 7 ambazo anategemea kuanza nazo katika kujitambulisha vizuri akitarajiwa kuleta upinzani mkali dhidi ya Dkt. Mwigulu ndani ya Chama.

Ali Hapi alisikika akitamaka wazi kuwa yeye ni muumini wa vipindi viwili vya ubunge zaidi ya hapo Mbunge huyo anakuwa hana jipya.

Hili linaonekana wazi kuwa lilikuwa ni ndogo dhidi ya Dkt. Mwigulu ambaye ameshatumikia vipindi vitatu katika Jimbo la Iramba.
Kwa mihela ile ya madilu itakuaa vita ya daud na goliath
 
Hahahah!! Mama yake na Hapi (CHURA) kashindwa kumtoa mwigulu katika wizara je chawa w mama ataweza. Mwigulu anapesa mpk anaumwa.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Ali Hapi ambaye anatoka familia ya Mzee Ugula katika kijiji cha Tutu, Kata ya Kiomboi, Wilayani Iramba amekuwa na safari nyingi za kumtembelea bibi yake Mzaa Mama kijijini hapo na safari ya mwisho aliyoifanya na kupiga picha na bibi huyo inasemekana imezalisha jicho la kuonwa na mama na kupewa Nafasi ya Ukatibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi. Hii yote ni kutokana na Ali Hapi kuonwa anawajali sana wazazi na anaweza kuwatumikia vema.

Hata hivyo mtazamo mkubwa uliopo ni Ali Hapi kuanza kutengeneza network hapo kijijini na Kiomboi Mjini ambako ameshapata namba za Viongozi wa CCM katika Kata 7 ambazo anategemea kuanza nazo katika kujitambulisha vizuri akitarajiwa kuleta upinzani mkali dhidi ya Dkt. Mwigulu ndani ya Chama.

Ali Hapi alisikika akitamaka wazi kuwa yeye ni muumini wa vipindi viwili vya ubunge zaidi ya hapo Mbunge huyo anakuwa hana jipya.

Hili linaonekana wazi kuwa lilikuwa ni ndogo dhidi ya Dkt. Mwigulu ambaye ameshatumikia vipindi vitatu katika Jimbo la Iramba.
Happy VS Mwigulu.
Happy bado mtoto mdogo.
 
Back
Top Bottom