ALI EXPRESS WANAKULETEA MZIGO WAKO HADI ULIPO KAMA DHL ?
Wakuu naomba msaada wenu kulielewa hili,
Ni mara yangu ya kwanza kununua na kutuma/kuletewa mzigo nilionunua na Aliexpress badala ya DHL ambao hukuletea mzigo hadi ulipo.
Swali langu jea hata hao aliexpress huleta hadi nyumbani ? au unafuata office kwao ? au postal office ? na hizo office zao au mawakala wao kwa Dar zipo wapi ?