Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare amesema atatoa ya moyoni siku ya Alhamisi.
Akizungumza na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi mara baada ya kupata dhamana aliomba subira kwa watanzania kwani anayo siri nzito moyoni.
Lwakatare alisema anawaomba waandishi wa habari watulie kwani anatarajiwa kuzungumza kwanza na viongozi wake wakuu wa chama na jopo la wanasheria wake nguli ndipo azungumze na dunia.
Wakati hayo yakiendelea mtandao wa You Tube unamuonyesha Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba akitamba kwenye kampeni za udiwani Arusha kwamba ndiye aliyegharamia vifaa vyote vilivyotumika kumrekodi Lwakatare na hatimaye mateso yote yaliyomfika Lwakatare.
Viongozi wakuu wa Chadema tayari wameelezea furaha yao baada ya Lwakatare kupata dhamana.Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe yuko Dodoma katika vikao vya bunge wakati Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa yuko kwenye ziara ya kichama barani Ulaya.Katika salamu zake jana alizozitoa akiwa Ujerumani Dr Slaa alimpa pole Lwakatare na hapo hapo kuelezea furaha yake na ya watanzania wanaoishi Ujerumani kwa Lwakatare kupata dhamana na kuweza kuungana na familia yake tena baada ya mateso ya miezi mitatu.
Source:Tanzania Daima.
Kwisha habari yake huyu mzee, kwa mjibu wa rasimu ya katiba mpya hana sifa za kuwa rais wa Tanzania, labda awe rais wa wachagga wanaomtumia kama kibarakaSlaa alihangaika weeee kuanika mafisadi lakini hakuna chochote cha maana alicho-achieve
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
mkuu kumbe chanzo cha habari tanzania daima kwa heri mkuu.
mnataka kumziba mdomo kama mwakyembe
hv ludovick nae kapatiwa dhamana ama ataendlea kukaa lupango
Ivi buku saba mnazopewa huwa haijalishi umeandika nini?haya yamezungumzwa live mahakamani na Lwax baada ya kuachiwa huru, halafu jitu linaisema vibaya Tanzania Daima.
kweli sikio la kufa halisikii dawa, hivi kuwekewa dhamana ndiyo kushinda kesi kweli? Kupata dhamana ni haki yake, ila kamwe hawezi kukwepa kifungo huyu, kaingia mkenge na kutumiwa kama chambo na wachagga, haoni mwenzake SLAA anatumiwa lakini anakuwa mjanja, anawapa masharti ile mbaya.hujitambui wewe,Mwigulu kapata Aibu sasa anaomba msamaha
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
kweli sikio la kufa halisikii dawa, hivi kuwekewa dhamana ndiyo kushinda kesi kweli? Kupata dhamana ni haki yake, ila kamwe hawezi kukwepa kifungo huyu, kaingia mkenge na kutumiwa kama chambo na wachagga, haoni mwenzake SLAA anatumiwa lakini anakuwa mjanja, anawapa masharti ile mbaya.
Jifunze kuheshimu maoni ya wenzako. Kama hana imani na hilo gazeti, ni vigumu sana kumlazimisha awe nayo.
Slaa alihangaika weeee kuanika mafisadi lakini hakuna chochote cha maana alicho-achieve
Wewe hauana akili, kuna sehemu nimetaja ugaidi hapo? Kwani wote waliofungwa wamefungwa kwa kosa la ugaidi? Ndo mnajifariji hivyo siyo? Ana kesi ya kujibu ndiyo maana hajaachiwa huru bali kawekewa dhamana tu mkuu.Terrorism na treason ni kesi ambazo hazina dhamana. Lwakatare anashtakiwa kwa kesi gani?
Huyo Kibanda mwenyewe alirudi na mbwembwe nyiiingi. Ooh nitawataja ooh nitawaweka hadharani. Kiko wapi sasa kudadadeki?
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Jifunze kuheshimu maoni ya wenzako. Kama hana imani na hilo gazeti, ni vigumu sana kumlazimisha awe nayo.
Huyo Kibanda mwenyewe alirudi na mbwembwe nyiiingi. Ooh nitawataja ooh nitawaweka hadharani. Kiko wapi sasa kudadadeki?
Wewe hauana akili, kuna sehemu nimetaja ugaidi hapo? Kwani wote waliofungwa wamefungwa kwa kosa la ugaidi? Ndo mnajifariji hivyo siyo? Ana kesi ya kujibu ndiyo maana hajaachiwa huru bali kawekewa dhamana tu mkuu.
Furaha ya watanzania hasa wapenda haki ni mtu anayetuhumiwa kwa ugaidi kupata dhamana.
Watanzania wanapenda kujua ukweli ni upi na uwingo ni upi.
Baada ya hapo unaweza ukamwambia sasa akatulie na familia yake kwa muda halafu mchakato wa ukombozi unaanza na kuweka kumbukumbu sahihi kwa vizazi vijavyo