KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Kama alikua muumini safi mpaka kufikia hatua ya kujenga misikiti,,kwanini hili jina sio popular?
Kama hajawahi kwenda kuhiji, kwanini ali-abandon, nguzo hii muhimu ya uislam?
kama alipuuzia nguzo hiyo muhimu, kwanini waislam wengi wanamwona ni mfalme wao?