Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
f(x) =y.
where
x= msichana mwenye umri wa miaka 18-20
y= Mwanaume mwenye umri wa miaka 32+
Maana yangu ni hii maturity ya x ni sawa na y. Hii ina maana kuwa mwanamke wa miaka 18-20 anaolewa na mwanaume wa zaidi ya miaka 32 na wanaishi kama wanaumri sawa. lakini si rahisi mwanaume wa miaka 18 kuoana mwanamke wa miaka 32+, bado anaakili za kitoto.
Hivi ni kwanini??, Au wanaume tunaupungufu fulani , au tunakua taratibu ila tunaishi zaidi ya wanawake??
Najiuliza sipati jibu.