masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,834
- 14,990
RATIBA YANGU 25/10/2015
1. Naamka saa 11 asubuhi, nawaombea wote waliokomboa nchi hii toka kwa wakoloni na waliokomboa nchi hii kutoka kwa mvamizi Nduli Idd Amin ambao leo hii wanaonekana hawajafanya kitu.
2. Nazunguka nyumba mara 7 kama ishara ya ukombozi huku nikiimba aliserema aleja, namaliza na push
up 10.
3.Naangalia video za Lema, Msigwa, Lissu, Mbowe ambazo walisema Lowassa ni fisadi. Namalizia na clip ya Nyerere akieleza kwanini Lowassa alikatwa 1995.
4. Naoga maji ya baridi, kisha napata chai ya tangawizi.
5. Navaa headphone, naweka wimbo wa CCM mbele kwa mbele. Nachukua kikatio, naenda kumstaafisha Lowassa siasa.