Mondoros
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 629
- 474
RATIBA YANGU 25/10/20151. Naamka saa 11 asubuhi, nawaombea wote waliokomboa nchi hii toka kwa wakolon na waliokomboa nchi hii kutoka kwa mvamizi Nduli Idd Amin ambao leo hii wanaonekan hawajafany kitu.2. Nazunguka nyumba mara 7 kama ishara ya ukomboz huku nikiimba aliserema aleja, namaliza na push up 10.3.Naangalia video za Lema, Msigwa, Lissu, Mbowe ambazo walisema Lowassa ni fisadi. Namalizia na clip ya Nyerere akieleza kwanin Lowassa alikatwa 1995.4. Naoga maji ya baridi, kisha napata chai ya tangawizi.5. Navaa headphone, naweka wimbo wa CCM mbele kwa mbele. Nachukua kikatio, naenda kumstaafisha Lowassa siasa.