Alex msama apata ajali

Wewe ndio hauna akili kabisa tena empty set na tena usinifundishe uoga wewe,unataka kuniambia kwa vile ni mgonjwa ndio dhuluma na unyonyaji wake vinafutika?hao anaowadhulumu na kuwanyonya unafahamu maumivu yao au unaropoka na upo kwenye Payrolll yake?
 
Sio naropoka kwani huyo aliyetapeliwa au kadhulumiwa nani si ajitokeze na kama anadai kweli si afate sheria alipwe? Kajipange upya ndio uje tena.
 
Nilikuwa nao jana ktk kitengo cha x ray. Pole mr Msama.Hongereni Rich na Steve Nyerere kwa kufuatilia tiba kwa karibu zaidi
 
Sio naropoka kwani huyo aliyetapeliwa au kadhulumiwa nani si ajitokeze na kama anadai kweli si afate sheria alipwe? Kajipange upya ndio uje tena.
Achana nae huyo,fuatilia tiba ya bro Msama
 
Heh! Kaka umekuwa mkali! Mweeh
 
Sio naropoka kwani huyo aliyetapeliwa au kadhulumiwa nani si ajitokeze na kama anadai kweli si afate sheria alipwe? Kajipange upya ndio uje tena.

Ajitokeze ili mumpoteze kwa kumchafulia jina Muheshimiwa sana?ni mara ngapi wanyonge wa Nchi hii wanapodai haki zao dhidi ya Mabosi au wenye nazo mwisho wanaishia kunyamazishwa iwe kwa Mahakama,vitisho au kupotezwa kabisa. Sauti za wanyonge wa Nchi wanaozulumiwa na wenye nazo hazitakauka kamwe,iwe Moyoni au hadharani,na Mungu atawapigania na tutaendelea kuwa Mdomo wa Mateso na Maumivu yao.
 
Empty set you mean { }!
 
nampa pole ila kama na yeye anahusika katika huu upuuzi wanaoita bongo movies akipona aache,yale mamichezo yao ya kuigiza wanayoita muvi ni kinyaa kwangu..
 
Msama ni mmeo?
 
kupe..
 
Huyu jamaa huwa hata simuelewagi na matamasha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…