The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,100
- 13,698
Abadili dini asibadili inatusaidia nini?
Ata kuna waislam wengi wanabadili dini leo kuja ukristo na hatusem
Ina maana huyo anayekuja kwa jina lake mwenyewe atakuwa hajatumwa na baba yake ila katumwa na shetani.YOHANA 5:43
"Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo."