Alex Masawe akamatwa na interpol

Ningefurahi sana ka.a hii habari ingekuwa ya kweli. Huyu mtu kaumiza familia nyingi sana. In the end mkono wa sheria utamdaka tu
 
Maradhi gani hayo,!? wewe ulinusurika..!!?

Simfahamu alex kwa kumwona but nawakumbuka waalimu kama 3 wote sasa wameshatangulia mbele za haki na walikuwa watu wake wa karibu. namshukuru Mungu i do not know him.
 
Jamaa za Bob Sambeke zamani hawa!
Hakuna mtu awezaye kuukimbia mkono wa chuma wa sheria kwa muda wote.
fikiri tofauti mkuu..
chuma cha hapa tizedi huwa kinayayuka kwenye moto sikuhizi mkuu ni swala la muda tu ukishakianika kwenye tanuru. labda chuma cha china. ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…