Ukishatoka nje ya Tanzania na ukaishi very low prifile life hawakukamati kamwe!labda uwe misifa unaonekana media kila siku huko uendako ndio watakubaini!angalia Kishimba,na wengineo waliokimbia TZ hadi leo wanatanua tu!Kishimba alisakwa sana kuunganishwa kesi mauaji ya meli yake Mwanza!!hata huyo Alex Massawe hawatamkamata!pia kuna yule jamaa King wa Drugs(mzigo wake alikamatwa na mtoto wa Liumba) mbona nae wanamshindwa na tunasikia anaishi SA na huwa anakuja hapa na anaonana na mawaziri kupanga mipango mingi tu ya biashara?tuna sikia alikuja hadi Arusha na akaonana na waziri mmoja wa JK!unafiki tu umewajaa!hawana lolote hao!