Alex Luambano ndiye sports anchor bora kwa Tanzania

Alex Luambano ndiye sports anchor bora kwa Tanzania

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,226
Reaction score
68,242
Ukizungumzia “Sports anchor” yaani muongoza kipindi cha michezo hakuna kama Alex Luambano wa Clouds FM.

Jamaa kwanza ni mkongwe sana kwenye Tasnia, ana utulivu mzuri, sio mropokaji.

Vilevile jamaa anajua kuanzisha mijadala motomoto ambayo huwapa nafasi wachambuzi aliokuwa nao kufunguka vizuri.

Huyu ndiye ananifanya niwe nasikiliza michezo hata kama hakuna jambo la michezo la maana hasa kipindi kama hiki ambacho msimu wa soka umeisha.

Kaka Alex Luambano pokea maua yako ungali hai, hakika unajua sana.
 
Kwa njisi anavyo handle issues ya mo, kwangu mimi hapana. Amenivinja nguvu leo. Yani anaongea kama vile watu wasioelimika, watu wa vijiweni tu!! Amenisikitisha sana!!

Simkubali hata kidogo!!!
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Malalamiko SC.
4. Makelele SC.
5. Mipang'ang'a SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyang'au SC.
8. Manyaunyau (Mapaka) SC.
9. Mazumbukuku SC.
10. Mikia SC.
11. Mwakarobo SC.
12. Ngada SC.
13. Zuwena SC.
14. Kufa Kiume SC.
15. Kikanuni SC.
16. Panya Roads SC.
17. Bebwa Bebwa (Mbeleko) SC.
18. Bahasha SC
19. 5imba SC.
20. Ubaya Ubwege SC.
21. Manguruwe SC.
22. Objective Football SC.
23. Mazombi SC.
24. Kolowizard SC.
25. Visingizio(Visababu)SC.
26. Wekundu wa Msimbazi SC.
27. Mbuzi SC.
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
Ukizungumzia “Sports anchor” yaani muongoza kipindi cha michezo hakuna kama Alex Luambano wa Clouds FM.

Jamaa kwanza ni mkongwe sana kwenye Tasnia, ana utulivu mzuri, sio mropokaji.

Vilevile jamaa anajua kuanzisha mijadala motomoto ambayo huwapa nafasi wachambuzi aliokuwa nao kufunguka vizuri.

Huyu ndiye ananifanya niwe nasikiliza michezo hata kama hakuna jambo la michezo la maana hasa kipindi kama hiki ambacho msimu wa soka umeisha.

Kaka Alex Luambano pokea maua yako ungali hai, hakika unajua sana.
Kiukweli kabisa jamaa anafurahisha kumsikiliza……….lakini inaonekana ana IQ ndogo sana

Lwambano hana uwezo wa kudadavua issues nzito kiweledi, ni mzuri sana kwenye kupiga soga kama za kwenye vijiwe vya gahawa zinazo vutia kusikiliza lakini hazina weledi
Na watu wengi huwa wanampenda kwasababu anapenda sana mada nyepesi za KISHABIKI kuliko za kitaalamu

Pale mawinguni anchor wazuri kuongoza kipindi kwa weledi ni Kampista na Mkazuzu.

Uzuri ni kwamba wanajuana wote, siku akiongoza kipindi Lambano na awepo Edgar na Kiemba na Njenge lazima mtacheka sana kwa mada anazochagiza Lwambano

Lakini akiongoza Kampista au Mkazuzu halafu awepo Amri Kihemba, Master Tindwa, Farahan Kiamu hapo mpira utachambuliwa kitaalamu kabisa
 
Kipindi chao kwasasa sikipendi kwasababu muda wote wanachambua MCHONGO PESA, yaani kwangu naona kero kwa tangazo hilo kuchukua zaidi ya nusu saa
 
Pigeni kura za maoni alafu mumpate wakumshinda Ahmed Abdallah pale Wachafu FM jamaa anajua sana
 
Mkono mtupu haulambwi! Unaonaje ukimtumia kiroba cha kilo 50 za mchele kama pongezi zako kwa kuchambua vizuri hicho kipindi. Kumbuka huu ni msimu wa mavuno. Naamini atafurahi sana.
 
Ukizungumzia “Sports anchor” yaani muongoza kipindi cha michezo hakuna kama Alex Luambano wa Clouds FM.

Jamaa kwanza ni mkongwe sana kwenye Tasnia, ana utulivu mzuri, sio mropokaji.

Vilevile jamaa anajua kuanzisha mijadala motomoto ambayo huwapa nafasi wachambuzi aliokuwa nao kufunguka vizuri.

Huyu ndiye ananifanya niwe nasikiliza michezo hata kama hakuna jambo la michezo la maana hasa kipindi kama hiki ambacho msimu wa soka umeisha.

Kaka Alex Luambano pokea maua yako ungali hai, hakika unajua sana.
Naunga mkono hoja bro Yuko vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom