Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Huyo niliishi nae mtaa mmoja kabla hajaondoka kwenda USA ingawa yeye ni mkubwa sana kwangu aliondoka tz kwa mara ya kwanza mwaka 89 ,pia kuhusu kucheza Moira hajawahi kucheza mpira timu yoyote hata ya pale mtaani tulipokuwa tunaishi alikuwa mshabiki tu, kuhusu dharau labda kabila linachangiaNilikuwa nikifuatilia kipindi cha nyundo ya baruani muhuza kilichokuwa kikirushwa na azam TV leo jumapili saa 4 asubuhi.
Huyu jamaa kwa sasa anaishi marekani na alikuwa ni mchezaji wa mpira hapa nchini .
Huko marekani anamiliki kampuni yake ya vifaa vya michezo hasa kutengeneza jezi. Na kampuni hii ya kajumulo imetapakaa nchi takribani 85 duniani kama alivyokuwa anajinasibu.
Baruani alikuwa akimuuliza baadhi ya maswali jamaa anajibu shortcuts sana alafu kwa dharau sana.
Yaani ni mtu wa kupenda kunyeyekewa sana na kuwaona watanzania wavivu sanaaa.
Jamaa anaongea kiswahili kama vile hakijui eti. Anaongea kama wamarekani hivi.
You know you know zimekuwa nyingi sanaaa.
Mwenye CV ya huyu jamaa anipe niione.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba nae ni chadema?ni mwana chadema huyu si unajua ukichanganya uchadema na uhaya basi ni tabu tu
mama mdogo prof ana tibaijuka naye alisema mil 10 ni pesa ya mboga
ni mwana chadema huyu si unajua ukichanganya uchadema na uhaya basi ni tabu tu
mama mdogo prof ana tibaijuka naye alisema mil 10 ni pesa ya mboga
Hehe hatari sana hivi kashanyoa rasta?tena muleba kashalunga hahahja
Ndiyo na ilikuwa safi sana, si kwamba walitafna ila simba na yanga ndo walihujumu hiyo timuJamaa anapesa chafu!
Nilimsikia sports extra akasema miaka ya nyuma aliwekeza 3.5MUSD kwenye timu Fulani bongo wakatafuna!
Now anatakakuisapot yanga.
Nakufananisha na polepole, bana, waitara etc zero brainsni mwana chadema huyu si unajua ukichanganya uchadema na uhaya basi ni tabu tu
mama mdogo prof ana tibaijuka naye alisema mil 10 ni pesa ya mboga
Kumbe!Ndiyo na ilikuwa safi sana, si kwamba walitafna ila simba na yanga ndo walihujumu hiyo timu
Kampuni yake inasupply bidhaa 85 countries!Alitingisha sana Miaka ya mwisho wa 90's kwa kutembeza fedha kwenye timu tanzania...ALEX KAJUMULO.
Kampuni 85 dunia nzima? Kweli jamaa mtu wa CHAI sana!!!
Kacheza Kajumulo kaka,hadi ikashuka darajaHuyo niliishi nae mtaa mmoja kabla hajaondoka kwenda USA ingawa yeye ni mkubwa sana kwangu aliondoka tz kwa mara ya kwanza mwaka 89 ,pia kuhusu kucheza Moira hajawahi kucheza mpira timu yoyote hata ya pale mtaani tulipokuwa tunaishi alikuwa mshabiki tu, kuhusu dharau labda kabila linachangia