Hata balimi?Mimi siku hizi nakunywa yoyote nayokutana nayo
Hiyo sasa
jana ukaninyima papaHiyo sasa
Umeniita wa nini?
njoo geto leo kuna kitu nataka nikuonyeshe.Umeniita wa nini?
Hahaha subiri umalize mambo ya msiba..utarudi tuMi nimeacha
Hahahahaahaa. Unataka nikupe kwa bluetooth ama?jana ukaninyima papa
Nasubiri msiba uishe ndo niache maana marehemu akijua nimeacha pombe kisa msiba atakasirika sababu alikua anapenda nikilewa ninavyochezaHahaha subiri umalize mambo ya msiba..utarudi tu
Hahahaha mimi hunidanganyi..marehemu alikua more than a friendNasubiri msiba uishe ndo niache maana marehemu akijua nimeacha pombe kisa msiba atakasirika sababu alikua anapenda nikilewa ninavyocheza
He was a friend kweli tena. Sema tulikua tumezoeana sanaaHahahaha mimi hunidanganyi..marehemu alikua more than a friend
Haya wkend leo...nataka nikatafute john mtembezi nijekumshushaHe was a friend kweli tena. Sema tulikua tumezoeana sanaa
una maanisha alikula tunda?Hahahaha mimi hunidanganyi..marehemu alikua more than a friend
Mi nazianza soon safari inoge vizuri.Haya wkend leo...nataka nikatafute john mtembezi nijekumshusha
Ndio ndio mkuu,si ile ya kirafiki rafiki...yani mzigua90 kawa mnyonge hata alcohol anataka kuacha kabisauna maanisha alikula tunda?
Nikuleteee?Mi nazianza soon safari inoge vizuri.
Hivi Dar wapi wanauza mnazi?